Kama ni wewe mwanaume mwenzangu hili tatizo ungelitatuaje?

Tatzo kubwa ni kwamba mmekutana wote watoto kungengekua na mmoja kat yenu anaeweza kunuongoza mwenzake mambo yangekua mepesi na sidhan kama ungekuja kuandika hilo shauri hapa jukwaaan...
Cha kukushauri ni kwamba kama umeona umeshajaribu kusuluhisha vya kutosha mpe na yy hyo assignment muulize ww binafs unahitaji kupata suluhisho nayy ili kuleta furaha kwake na kwako pia yy kama mwanamke anapendekeza mfanye nn kama couple ili kufanya maisha yawe mwororo kwa pande zote mbili (win~wjn situation) then mpe attention usikie atasemaje...
Ukishajua anachowaza utajua cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok labda tu watoto.

Yeye anachodai nimwache na maisha yake kilakitu atafanya yeye na mtoto nisiseme ni wangu.[kuna ishu nilitaja pale juu nilimjibu vibaya]

Lakini mimi sikubaliani na yeye kubeba majukumu yote na wewe kama mwanaume mwanamke akikujibu hivyo unaelewa anamaanisha nini.

-Nisipomtafuta hanitafuti. Nikimtafuta analalamika. Changes za mimba zipo pia kwenye hili.

-kikubwa tungeshasolve hili. Kwao sipajui najua mtaa tu. Na kwao sijapajua sababu kubwa ikiwa ni wazazi wake hawakutaka kusikia kama mimba ni ya mgeni hivyo alificha.
 
Kabisa mkuu,mtoto atateseka,hujasema huyo mwanamke ana umri gani,ila mie naona anapitia mengi..kugombana na familia na kujitenga si kitu kidogo plus mimba,mie kiukweli naona huyo msichana labda kaona you will never be accepted in her family pamoja na kwamba mmezaa wote..so kaona hana future na wewe...familia imemtenga...dunia mbaya,...mpe time ajiadjust ..mwambie ungempenda kumuona huko huko kwa babu yake,you can be only her hope..usimuache.Mkuu mimba iko kama moshi,huwezi kuificha for long...lol

She is 22.

But again shestays with her little sister. Refer juu.

Mama/family ingekuwa imemtenga wangempa mtoto au tunarudi kule ninakohisi labda ni mwanae.

Au mama kampa somo achana na huyu mgeni fanya maisha yako as you said. But she blames me whenever I call her.
 
Kuna Sehemu nimemuhukumu?
?????
20190211_204323.jpeg
 
Shukrani mkuu.

Ila inaumiza akili mwisho wa siku mtoto ndiye atakaye kuja kuumia kisa tunazitibu nafsi zetu.
Mimba zina mambo mengi. Inaweza hata kubadilisha tabia ya mtu. Wengine wakiwa na mimba hupenda kukutana kimwili sana na wengine huona tendo hilo kama adhabu hata akiwa ndani ya ndoa. Jitulize kubali majukumu endana naye kama mimba ni ya kwako mtakuja kukaa vizuri tu.
 
Back
Top Bottom