KAMA NI WEWE HAPO UTAFANYAJe?

Natulia tu maana nyoka hakuumi kama hukumkanyaga au umemchokoza, ila nikishuka chini ntakua asusa bora nikae huko juu mpaka nione hatima yake itakua nini
 
Hiyo sasa ni operation TOKOMEZA ujangili, sio ile ya TOKOMEZA UWAZIRI.
 
Natulia tu maana nyoka hakuumi kama hukumkanyaga au umemchokoza, ila nikishuka chini ntakua asusa bora nikae huko juu mpaka nione hatima yake itakua nini

sasa utakaa uko juu mpaka uone hatma yake,lkn umeuona huo mti kua unakatika baada ya kupigwa mashoka?
 
Hapo kunapossibility yakupona kama ukienda kwa simba mana kuna shoka pale chini, ukiliwahi unampoteza shingo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…