Kama ni uongo, huu ni kiboko

Kama ni uongo, huu ni kiboko

birds of the feather flock together..mna mawazo sawa..so mnaweza supportiana

Kutokana na thread inavyosema,me nimeelewa lakin ww haujaelewa mpaka saivi,inaonekana ww ulikuwa unajaza madudu wakati unasoma aisee
 
Mjinga hawezi jua ujinga wake bali anauona ujinga wake kwa mwerevu kaka

saaafi kabisa..unaweza kweli kubadili wazo la mtu kulitoa kwenye lugha moja kulipeleka lugha nyingine..nitatoa recommendation nikisikia nafasi ya mkalimani ipo open..in the imbecile company!!!
 
(may be you meant stupid similarities?...yet incorrect grammar!)

your admission has nothing to do with it.

And there is no such a word like "stupidity similarities"..try "stupid comparison"

Inkhubu
Acha unaongea na watu wenye very low IQ, unapoteza muda.
 
Kuna mdada mmoja yeye siku hizi ni muigizaji marufu tu wa hizi bongo movie anaishi sinza, yeye ukifanya nae mapenzi atakukaba kama huna nguvu anaweza kukuua aisee... na mkilala usiku, kama jana alifanya mapenzi na mwanaume mwingine usiku utayasikia yote, yani anaonge yote mpaka kwa vitendo.

Duh!!iyo kali ndugu,hayo majini yakimkamata mtu aisee uwa yanamsumbua sana,lakini inatibika au??
 
saaafi kabisa..unaweza kweli kubadili wazo la mtu kulitoa kwenye lugha moja kulipeleka lugha nyingine..nitatoa recommendation nikisikia nafasi ya mkalimani ipo open..in the imbecile company!!!

Haaa upo sawa kabisa nikisikia kuna sehemu kuna machizi kama wale waliokimbia dodoma au stupid people center kama ile wakiwa na nafasi nitakujulisha ndugu
 
ever heard of a "boya? huwa linabob kutokana na mawimbi ya bahari..posts zangu ndo zinakupa cha kuongea. You are that boya..sasa nakukomoa hii post ya mwisho and I will be watching you..ukiongeza post tatu baada ya mimi kuquit nitajua you are a lesser buoyant than I thought!!! i am counting
 
you should know better about kujaza madudu

U can act à film but u cant be à good acter haaaaaa,unaweza kufikilia kwamba ww ni mwerevu kumbe ni mjinga uliopitiliza na unaweza ukawa unafikilia sana kumbe unaumiza kichwa kwa kutoa majibu ambayo hayakufikilika haaa
 
ever heard of a "boya? huwa linabob kutokana na mawimbi ya bahari..posts zangu ndo zinakupa cha kuongea. You are that boya..sasa nakukomoa hii post ya mwisho and I will be watching you..ukiongeza post tatu baada ya mimi kuquit nitajua you are a lesser buoyant than I thought!!! i am counting

Boya uwa anaona uboya kwa mwingine ambaye siyo boya ndugu,turudi kwa thread uwezi kutoa mifano isiyo na kichwa wala miguu alafu watu wakakuangalia tu
 
no wonder..you are very advanced in thinking mpaka unaleta swali lililo wazi watu wakusaidie kufikiri...next time utauliza kama inawezekana ng'ombe kutaga mayai....

Yani ww kweli hujielewi,sasa umu jf kuna limit ya kusema mtu asilete wazo lake lolote ndugu,kumbuka uwezo wa kufikilia ni tofauti alafu kingine hii mitandao ipo kwa ajili ya kuelimisha na sana kuburudisha kaka,na mtu anaweza tu akawa na wazo lake akatia umu ndani akiomba ushauri,so respect wazo la mtu na thread yake,namalizia huu ni mtandao wa kijamii kama mingine
 
U can act à film but u cant be à good acter haaaaaa,unaweza kufikilia kwamba ww ni mwerevu kumbe ni mjinga uliopitiliza na unaweza ukawa unafikilia sana kumbe unaumiza kichwa kwa kutoa majibu ambayo hayakufikilika haaa

people do not act films..they act in films..think again!!! and next time use "actor" instead of "acter" and say "uliyepitiliza sio "uliopitiliza"..again tumia "hayakufikirika" sio "hayakufikilika"
 
Yani ww kweli hujielewi,sasa umu jf kuna limit ya kusema mtu asilete wazo lake lolote ndugu,kumbuka uwezo wa kufikilia ni tofauti alafu kingine hii mitandao ipo kwa ajili ya kuelimisha na sana kuburudisha kaka,na mtu anaweza tu akawa na wazo lake akatia umu ndani akiomba ushauri,so respect wazo la mtu na thread yake,namalizia huu ni mtandao wa kijamii kama mingine

sure sure...wazo lolote, you are right
 
people do not act films..they act in films..think again!!! and next time use "actor" instead of "acter" and say "uliyepitiliza sio "uliopitiliza"..again tumia "hayakufikirika" sio "hayakufikilika"

Cha muhimu ulielewa haaaaaaaa mkalimani wa swanglish
 
Kwa nini isiwezekane?...Mbona kuna siku mimi nilikosa nauli kutoka Mwenge kuja Shekilango nikachukua short cut. Kufika ukuta wa Posta nikaona kijimfuko..kama utani nikakiokota kufungua ndani nikakuta elfu 83..nakajiambia sitaki hela za kuokota nikakiacha palepale nikaendelea kuunga mkono Azimio!!!!

Nyie watu mna vipaji vya kuchekesha. Thanks nimecheka Sana.
 
Back
Top Bottom