Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
Naona sasa unataka tuelekee njia isiyofaa ili hali ni easter sunday,sio!?
Samahani bro...
Naona sasa unataka tuelekee njia isiyofaa ili hali ni easter sunday,sio!?
Hapo siyo jamaa yake wa zamani, hapo ni yeye mwanamke ndiyo ana matatizo. Angalia na wewe jogoo wako akashindwa ghafla kufanya kazi.
better to b the biggest joke bt not to admit your stupidity similaritiesfikra mfu? My God..you are the biggest joke!! yaani unakuja kuuliza vitu visivyowezeka unapewa majibu-mlinganyo halafu unatukana?
ok, nabadilisha
inawezekana demu wako aliishi na mwanamme asiye rijali kwa miaka mitatu kama inavyowezekana bibi yangu mzaa mama kuwa bikra...hapo je?
Yani wewe uongo wako umezidi wa hili bandiko,kama vipi Moderator wabadilishe bandiko ili hii comment yako ndio iwe bandiko rasimi!Kwa nini isiwezekane?...Mbona kuna siku mimi nilikosa nauli kutoka Mwenge kuja Shekilango nikachukua short cut. Kufika ukuta wa Posta nikaona kijimfuko..kama utani nikakiokota kufungua ndani nikakuta elfu 83..nakajiambia sitaki hela za kuokota nikakiacha palepale nikaendelea kuunga mkono Azimio!!!!
Kaka kuwika kwa jogoo na kuokota ela wapi na wapi??jaribu kuelewa mada tafadhali
(may be you meant stupid similarities?...yet incorrect grammar!)better to b the biggest joke bt not to admit your stupidity similarities
Unataka kusema mwanamke ana majini mahaba??maana ndo kama yupo nao kaka kila mwanaume atakayekutana naye lazima jogoo afe direct
neno "kuwezekana" halipo exclusive kwenye kuwika kwa jogoo...ukijipa taabu kidoogo ya kusumbua ubongo utaona connection in relation to "kuwezekana" kwa mambo
Yani wewe uongo wako umezidi wa hili bandiko,kama vipo @Mods wabadilishe bandiko ili hii comment yako ndio iwe bandiko rasimi!
Soma thread yote uielewe kaka,maana inawezekana umeelewa swali na haujaelewa thread inasemaje
Inawezekana. Hujaona baadhi ya wanawake kila akiolewa mwanaume anakufa. Utasikia kapitia ndoa zaidi ya nne na waume zake wote washafariki.
Thnks.... anyway your stupid comparison.
demu wake kamuambia kuwa amespend miaka 3 na mwanamume lakini hajawahi kusex nae kwa sababu jogoo halipandi mtungi..jamaa anauliza kama hilo linawezekana?...na wewe umesoma hiyo hiyo ndugu?
Kwa nini isiwezekane?...Mbona kuna siku mimi nilikosa nauli kutoka Mwenge kuja Shekilango nikachukua short cut. Kufika ukuta wa Posta nikaona kijimfuko..kama utani nikakiokota kufungua ndani nikakuta elfu 83..nakajiambia sitaki hela za kuokota nikakiacha palepale nikaendelea kuunga mkono Azimio!!!!