Dah kweli nishasikia ilo mara kadhaa maana ata me wakati nikiwa kijana nilikapata kademu kazenj kana asili ya kiarabu kalikuwa kazuri sana na alinipenda sana,sema kumbe alikuwa na tatizo ilo kaka,nilikuwa nafaidi tu kiss aise mpaka mwisho wa siku ndo akaniambia ukweli ooohh ata nikiwa nakuja kukuona nakuchukia oohh nikiwa nakuja kukuona kichwa kinaniuma alafu usiku silali dah ana jini na lina watt na yeye kaka,alikuwa anaishi ilala boma nyuma la lile soko karibu na sheli kama unaenda buguruni,mwisho wa siku ilibidi tuachane wazima aisee maana ni mitihani