Kama ni uongo, huu ni kiboko

Kama ni uongo, huu ni kiboko

Mimi wala sishangai! kuna jamaa yangu fulani pia wakati tupo sikuli boarding,mademu wote wazuri alidahi amewala kumbe cheche!,akiamka asubuhi anakuwa amesimamisha kijiti ndani ya boksa kumbe cheche!
 
Kwa nini isiwezekane?...Mbona kuna siku mimi nilikosa nauli kutoka Mwenge kuja Shekilango nikachukua short cut. Kufika ukuta wa Posta nikaona kijimfuko..kama utani nikakiokota kufungua ndani nikakuta elfu 83..nakajiambia sitaki hela za kuokota nikakiacha palepale nikaendelea kuunga mkono Azimio!!!!

Hii hadithi hata kwenye "Hekaya za Abunwas" haipo!
 
Siku hizi kupata mpenzi mpya ni kupata uongo mpya move on with her.
 
Kwa nini isiwezekane?...Mbona kuna siku mimi nilikosa nauli kutoka Mwenge kuja Shekilango nikachukua short cut. Kufika ukuta wa Posta nikaona kijimfuko..kama utani nikakiokota kufungua ndani nikakuta elfu 83..nakajiambia sitaki hela za kuokota nikakiacha palepale nikaendelea kuunga mkono Azimio!!!!

Lini na maeneo gn mkuu nikachukue thic time???
 
Kwa nini isiwezekane?...Mbona kuna siku mimi nilikosa nauli kutoka Mwenge kuja Shekilango nikachukua short cut. Kufika ukuta wa Posta nikaona kijimfuko..kama utani nikakiokota kufungua ndani nikakuta elfu 83..nakajiambia sitaki hela za kuokota nikakiacha palepale nikaendelea kuunga mkono Azimio!!!!

Umetisha mkuu
 
Mkuu Inkhubu comment yako na maantiki yako na ubishani wenu na kiroboto vimenifanya nisome karibu michango yote ktk bandiko hili. Kweli nimeamini binadamu tunatofautiana sana! Yaani pamoja na kuandika kwa ufasaha kiasi hicho mtu hajakuelewa,hata ulivyomwambia issue hapa ni"kuwezekana"lkn bado mtu haelewi!? Hii kweli job true true!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Means ana kamtu kingine kanakomsaidia jamaa kazi, siyo ajabu yupo kwa huyo bf wake kimaslahi tu
 
Back
Top Bottom