au vipi? msanii kwa msanii, vinginevyo mtu anajitafutia BP na shell!!kama wewe sio msanii usijihusishe na demu muigizaji utafeli,hawa tuachieni sisi wenyewe.
Nalog off
Usiumie, hayo yanaitwa marupurupu kwenye hiyo mambo ya kaolemie mwenyewe karoho kangekuwa kananiuma aisee
umeona eh,kama mfanyabiashara mpende mfanyabiashara mwenzako na si vinginevyoau vipi? msanii kwa msanii, vinginevyo mtu anajitafutia BP na shell!!