1. Hv kati ya chadema wa instagram na mbowe nani mhusika wa ule msiba?
2. Hv kati ya chadema na familia ya mtei nani mhusika mkuu wa huu msiba?
3. Kati ya kuwa gavana wa kwanza wa BOT na kuwa mwanzilishi chadomo kipi chenye heshima katika hili taifa?
ACHENI KUUSUMBUA MWILI WA MAREHEMU MSIJEANZA KUIMBA MARAA OO ICC MARA OO CNN
Kumbuka huyo Mzee ni Baba mkwe wake Mbowe, hata akiweka mbali masuala ya kisiasa bado hawezi kukaa mbali na msiba wenye kumhusu kwa asilimia mia moja.Anandika Hilda Newton
HUJUMA MSIBA WA MUASISI WA CHADEMA MZEE EDWIN MTEI.
Nimepata taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kwamba Mhe. Mbowe anatumia nafasi yake ya uanafamilia kuihujumu CHADEMA kwenye msiba wa muasisi wetu wa Chama Mzee Edwin Mtei.
Sasa iko hivi, imepangwa ratiba ya msiba siku ya Mazishi ambapo CHADEMA itapewa nafasi ya kutoa salam za rambirambi saa tatu asubuhi wakati ratiba rasmi ya msiba itaanza saa tano asubuhi.
Mhe. Mbowe na watu wake wanafanya haya yote kwasababu wamepanga kumualika Nduli Idd Amin Mama ili aje kutumia msiba wa Mzee Mtei kujisafisha baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10 siku ya Oktoba 29.
Yani huyu Nduli Idd Amin Mama ukiachia mbali kwamba ameuwa maelfu ya Watanganyika na kuwazika kwenye makaburi ya halaiki, yeye ndo amembambika kesi ya uhaini Mhe. Lissu ambae ni Mwenyekiti wa Chadema ambayo iliasisisiwa Mzee Mtei, akaona haitoshi akaifungia CHADEMA isifanye Siasa, CHADEMA ambayo muasisi wake ndo huyu huyu Mzee Mtei ambae Idd Amin Mama anataka awe mgeni rasmi kwenye mazishi yake, jambo ambalo naamini hata Mzee Mtei huko aliko hawezi kuunga mkono huu ujinga.
Jambo moja ambalo Mhe. Mbowe na watu wake wanapaswa kujua ni kwamba kwenye huu msiba CHADEMA sisi sio wavamizi, huu msiba unatuhusu asilimia mia moja hivyo hatuwezi kukubaliana na hujumu za aina yoyote.
Mzee Mtei alianzisha hiki Chama, hajawai kukisaliti wala kukiumiza Chama chetu bali alikipigania kwa nguvu zake zote mpaka kimefika hapa kilipofika leo, ambapo CHADEMA imekuwa Tumaini la Watanzania.
Ametangulia mbele za Haki akiwa na ushujaa wake so lazima tumzike kwa hadhi na heshima zote.
Hatuwezi kukubali mtu ambae mikono yake inaninuka damu za Watanganyika aliowauwa kikatili aje kunajisi msiba wa Muasisi wetu wa Chama.
Umegonga kisiki, hivi hujaumia1. Hv kati ya chadema wa instagram na mbowe nani mhusika wa ule msiba?
2. Hv kati ya chadema na familia ya mtei nani mhusika mkuu wa huu msiba?
3. Kati ya kuwa gavana wa kwanza wa BOT na kuwa mwanzilishi chadomo kipi chenye heshima katika hili taifa?
ACHENI KUUSUMBUA MWILI WA MAREHEMU MSIJEANZA KUIMBA MARAA OO ICC MARA OO CNN
Elewa, huyu ni Mwanzilishi wa chadema. It is not an issue of nani alimuuguza. Issue ni nafasi ya chadema katika msiba wake.Hivi hawa wakina Hilda walikuwa wapi wakati marehemu anaugua? Leo wanataka waubebe msiba lakini hawakudai hilo wakati wa ugonjwa wake. Walichangia nini katika tiba yake? Walikuwa wanamtembelea mara ngapi au hata kuongea nae kumjulia hali?
Hivi wanafikiria familia ya Mtei inafurahishwa na kauli chafu wanazotoa dhidi ya ndugu yao? Kauli ambazo zinaendelezwa na hizi shutuma zisizo na msingi. Ovyo kabisa.
Amandla...
Chadema inakuwa kama yule mtoto ambae hakumjali mzazi wake wakati wa uhai wake lakini anataka apewe heshima wakati wa mazishi yake kwa sababu tu marehemu alikuwa baba yake. Atapewa nafasi yake katika mazishi lakini heshima itaenda kwa wale waliomuuguza marehemu.Ele
Elewa, huyu ni Mwanzilishi wa chadema. It is not an issue of nani alimuuguza. Issue ni nafasi ya chadema katika msiba wake.
Unataka kusema chadema hawakumjali ila ccm walimjali hivyo wanastahili kuandaliwa ratiba ya kumzika. Hizo ni vurugu, kwahiyo wewe usipomjali baba yako basi msiba uwe mikononi mwa majirani. Waachwe chadema wamzike founder wao, longolongo zozote hazikubaliliChadema inakuwa kama yule mtoto ambae hakumjali mzazi wake wakati wa uhai wake lakini anataka apewe heshima wakati wa mazishi yake kwa sababu tu marehemu alikuwa baba yake. Atapewa nafasi yake katika mazishi lakini heshima itaenda kwa wale waliomuuguza marehemu.
Hili suala lilipaswa kushughulikiwa kimya kimya pamoja na familia. Lakini wapambe ndio wanataka kuleta mpasuko kati ya Chadema na familia maana Mbowe ni sehemu ya familia. Ukimsemea ovyo Mbowe unaikwaza familia.
Amandla...
Hawezi kwenda..Anandika Hilda Newton