juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
hadi hamu ya kula imeniisha.
mkuu ukishapewa mlungula unaambiwa na namna ya kuipiga kura yako mfano unaambiwa vema yako kwenye jicho la kushoto hivyo wakati wakuzihesabu wasipoiona wanajua umewageuka.Kama CCM wana fedha ya kugawa watu wachukue mzigo. Kura ni SIRI YA MTU!!!!!!
We sema maharage yamekuchosha tu.hadi hamu ya kula imeniisha.
Haaaaa haaaaaHabari wanajamvi,leo nikiwa nimetoka k,koo naelekea zangu makumbusho ofisini kwangu,nilikuwa kwenye daladala.mara kukazuka story kuhusiana na meya wa jiji la DSM,kuna jamaaa kaongea jambo ambalo imenibidi niamini kwa kiasi fulani hasa kutokana na figisufigisu zilizotokea.jamaa anadai ya kwamba ccm wana mpango wa kuwanunua madiwani 11kutoka ukaww ili wampigie kura mgombea wa ccm.jamaa akaenda mbali zaidi na kusema hadi sasa wamefanikiwa kurubuni na kuwapa pesa madiwani 6 bado wa5 ili kazi iishe na ndipo waitishe uchaguzi,inasemekana wanachelewesha kwa sababu wanataka wahakikishe wamewapata hao wajumbe 11 na ndipo waitishe uchaguzi,,sasa kama ni kweli hizo habari basi ccm hawawezekani na ni bora mtu ufanye shughuri zako za kimaisha kuliko kufuatilia siasa za africa maba zote zipo sawa,laaana hii sijui tuliachiwa na nani ya kutofuata democracy
Acha kutunga nyumbu weweHabari wanajamvi,leo nikiwa nimetoka k,koo naelekea zangu makumbusho ofisini kwangu,nilikuwa kwenye daladala.mara kukazuka story kuhusiana na meya wa jiji la DSM,kuna jamaaa kaongea jambo ambalo imenibidi niamini kwa kiasi fulani hasa kutokana na figisufigisu zilizotokea.jamaa anadai ya kwamba ccm wana mpango wa kuwanunua madiwani 11kutoka ukaww ili wampigie kura mgombea wa ccm.jamaa akaenda mbali zaidi na kusema hadi sasa wamefanikiwa kurubuni na kuwapa pesa madiwani 6 bado wa5 ili kazi iishe na ndipo waitishe uchaguzi,inasemekana wanachelewesha kwa sababu wanataka wahakikishe wamewapata hao wajumbe 11 na ndipo waitishe uchaguzi,,sasa kama ni kweli hizo habari basi ccm hawawezekani na ni bora mtu ufanye shughuri zako za kimaisha kuliko kufuatilia siasa za africa maba zote zipo sawa,laaana hii sijui tuliachiwa na nani ya kutofuata democracy
...wewe kula mkuu, apangalo Mungu binadam hawezi kulipangua...ni suala la muda tu...hadi hamu ya kula imeniisha.
Sio umeya tu,hata Zanzibar mpaka sasa CCM ndio washindi.
Tutakapoweza kuing'oa CCM madarakani,na ni baada ya kupata katiba mpya pendekezwa ndipo tutakapoweza kufanya ya maana,tofauti na hapo ni ngumu kuzuia figisu figisu za CCM.
unafikiri kila mtu anayatumia?We sema maharage yamekuchosha tu.
Kisha wawatangazie wana Dsm kuwa umeya umerudi ccm kwa sababu Fulani na Fulani walihongwa na kusaliti matakwa ya wananchi.ukawa wazitumie kalamu walizodai zinarecord taarifa ya mpiga kura ili kuwatambua wasaliti hao kama kweli wapo.
Habari wanajamvi,leo nikiwa nimetoka k,koo naelekea zangu makumbusho ofisini kwangu,nilikuwa kwenye daladala.mara kukazuka story kuhusiana na meya wa jiji la DSM,kuna jamaaa kaongea jambo ambalo imenibidi niamini kwa kiasi fulani hasa kutokana na figisufigisu zilizotokea.jamaa anadai ya kwamba ccm wana mpango wa kuwanunua madiwani 11kutoka ukaww ili wampigie kura mgombea wa ccm.jamaa akaenda mbali zaidi na kusema hadi sasa wamefanikiwa kurubuni na kuwapa pesa madiwani 6 bado wa5 ili kazi iishe na ndipo waitishe uchaguzi,inasemekana wanachelewesha kwa sababu wanataka wahakikishe wamewapata hao wajumbe 11 na ndipo waitishe uchaguzi,,sasa kama ni kweli hizo habari basi ccm hawawezekani na ni bora mtu ufanye shughuri zako za kimaisha kuliko kufuatilia siasa za africa maba zote zipo sawa,laaana hii sijui tuliachiwa na nani ya kutofuata democracy
Huyo ni kada wa ccm tu alikuwa anapima kina cha maji na kusikia ya upande
mwingine hana lolote! Kawakuta nyie wasikilizaji wa mabadiliko mkaogopa; wangekuwepo makamanda wa kweli angewataja hao anaojidai
wameshanunuliwa; vinginevyo wangekiona kilichomnyoa kanga manyoya!