M mkupuo JF-Expert Member Apr 6, 2012 1,807 2,042 Apr 9, 2016 #4 Utaacha vingi sana mkuu. Ukimchunguza sana kuku hutamla!
BansenBurner JF-Expert Member Feb 16, 2015 6,810 5,769 Apr 9, 2016 #8 Amna shida anakaa tu ila hajambii
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,142 Apr 9, 2016 #9 Hahahahaa jamaa kajiachia kwa raha zake
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Apr 9, 2016 #10 Usile kabisa mkuu itakusaidia kubana matumizi!
chipaka.com JF-Expert Member Dec 5, 2015 2,883 1,189 Apr 9, 2016 #11 Hiyo ni reject, special iko mitaani
adden JF-Expert Member Dec 27, 2015 7,033 15,616 Apr 9, 2016 #12 Huwa wanakanda unga na miguu wamevaa kanda2 za chooni.
HOPECOMFORT JF-Expert Member Feb 25, 2012 3,920 6,634 Apr 9, 2016 #13 Kama kula ushakula sana tena kipindi cha nyuma ambacho hakukua ata na mashine ya kukandia ndo ilikua balaa kabisa
Kama kula ushakula sana tena kipindi cha nyuma ambacho hakukua ata na mashine ya kukandia ndo ilikua balaa kabisa
kizaizai JF-Expert Member Mar 31, 2010 5,564 6,846 Apr 9, 2016 #14 Hapo akiachia maudenda na vijambo vinaongeza ladha ya mkate, huna haja ya Blueband.