Kama ni hivi basi imekula kwetu!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ni hivi basi imekula kwetu!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TandaleOne, Sep 18, 2010.

 1. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Hivi ni kweli kuna watu bado wanauza kura zao hapa Tanzania??????
  Hivi ni kweli kuna wanasiasa viongozi mabingwa wa kufoji risiti????
  Na ni kweli kwamba siasa zetu zimetawaliwa na blah blah kuliko ishu za msingi???
  Hivi jamani ni kweli siku 100 zinatosha kuwa kupata treni ya umeme????
  Vipi kuhusu fly overs!!!!!???Na ni kweli kwamba Tanzania siasa ni mchezo wa kuigiza????
  Na wale jamaa hivi kweli walimaanisha wanachosema???Kwamba kuna watu wananunua watu kuchafua watu?????Kwa faida ya nani????Hivi tunaweza kuwa na kinga dhidi ya tatizo la kiuchumi la dunia pindi litokeapo????

  Hivi kweli kuna mtu mkamilifu???Mbona wanajiita wakamilifu????Kuna watu wamekula fedha ya kusaidia yatima Tanzania???Laaaaaaaaaana!!
  Jioni ina maswali sana!!
  Wikendi njema ndugu zangu.
   
 2. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
   
 3. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Kazi ipo
   
 4. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Na kuna viongozi wa vyama vya upinzani wana kadi za CCM mfukoni!!!Drama
   
 5. J

  JIWE2 Senior Member

  #5
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nd. Tandale hukuelewa, Dr. hakusema ataleta treni ya umeme ndani ya siku 100 bali baada ya mwaka mmoja wa kuwa Rais ataanzisha mchakato wa kupata treni inayosafiri kwa kasi na ya uhakika kuliko ilivyo sasa. Unashangaa nini? au unafurahia akinamama na watoto wanavyotaabika kwenye usafiri wa sasa. TANZANIA YENYE USAFIRI WA KISASA INAWEZEKANA.
   
 6. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Siku 100!:tape2:
   
 7. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Am confused man.Na yule jamaa aliyeugua tumbo K'koo na kuiponda CCM jana kaanza kuisifia!!Doh!
   
 8. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Drama
   
 9. M

  Masauni JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina wasiwasi sana na uwezo wako wa kuelewa mambo. Uliwahi kupatwa na degedege wakati wa utoto wako?
   
 10. P

  Paul S.S Verified User

  #10
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hao wote ni waganga njaa tu wakichemsha watarudi tu kwa mzazi wao CCM
   
 11. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Now this kind of people is exactly what am talking about!!!!:confused2:
   
 12. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Ila ndo wanakuwa washacheza na akili za wananchi!!!Mi kura yangu CCM
   
 13. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nani kakuuliza?hakuna mwenye haja ya kujua kura yako inaenda wapi.
   
 14. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Hivi wale wananchi wote walioshawishika kuiunga mkono sisijei walifanywa wajinga???
   
 15. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wamezoea BANA kuwa duni tusiwalaumu wadanganyika Mambo ya ukweli hawataki wanataka Blah blah Chagua Dr.Slaa Upate maendeleo kwani Huyu na Chama Chake Kabla na tokea Uhuru mpaka sasa kuna sehemu wanafunzi wanaenda kwa miguu bila viatu huku wakibeba mabango ya CCM sasa hawa Tuwaiteje?? Ukiona Mtu amechoka Ni fukara lakini anabango la CCM anayempigia kura yupo Dar amejenga Ghorofa. Shime jamani tunahitaji Democray ya Ukweli kwani haya ya CCM Tumeyazoea sana. Mabadiliko Mbele Daima :welcome: Dr. Slaa Rais wa Ukweli
   
 16. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  CCM itapita kwa kishindo.Indiketa iliwaka uchaguzi wa serikali za mitaa.Tz haina swing voters.
   
 17. M

  Masauni JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Am a doctor by profession i know what i asked you, and am serious on that. nimefuatilia post zako nyingi. anyway sijui level yako ya elimu , lakini naona unashindwa kuelewa mambo madogo tu! kama hata unashindwa kumuelewa slaa anasema nini, we have to put big question mark! Silaa hajasema mambo hayo yatakuwa tayari within 100days. Anachosema ni kwamba within 100 days mambo yatakuwa kwenye pipeline. sasa unashindwa kuelewa hata hilo ndugu yangu!
   
 18. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  wasikupe taabu, hawa ni wataalamu wa propaganda
   
 19. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #19
  Sep 18, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 580
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nadhani hukumuelewa Dr.Slaa vizuri, hakusema ndani ya siku 100 ataleta treni za umeme bali alisema akiingia madarakani ata badilisha mfumo wa usafiri wa reli kwaku boresha nakuweka treni za umeme bt hakutaja kama itafanyika ndani ya cku 100, soma vizuri ilani ya chadema then utaelewa zaidi
   
 20. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  We tandaleone unaumwa pengine. Kama sivyo we ni mzee wa zamani ambaye husomi nyakati. We kama kikwete tu ambaye hana kumbukumbu na ahadi ambazo alikwisha toa na anazitoa kama mpya kwa mara nyingine. Aisee, we mvivu wa kusoma, tafadhali usiharibu siku za wengine. Toa pumba zako humu, hii ni sehemu ya great thinkers.
   
Loading...