kama ndo mimi...

kama ndo mimi...

Sugi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
1,392
Reaction score
295
kama mimi ningekuwa ndio rais wa tanzania...............
 
nINGEENDELEA KUWANYONYA SANA WAJINGAWAJINGA WOOTE NA URAISI NINGEMWANDALIA MWANANGU RIZ SABABU SIJAONA KIONGOZI BORA ZAIDI YANGU>
 
kama mimi ningekuwa ndio rais wa tanzania...............


ningekuwa natenga muda wa kufungua jf maana wana ''constructive ideas'' sana nahisi ningeyafanyia kazi maoni yao
 
ningepunguza mishaara ya wabunge na kuongeza ya walimu kwa kiasi kinachoridhisha kwa wote
 
ninge mengaaa videmu vyote vikaliii mjini na kuwaongaa ubungee na uwaziri au ukurugeziiii
 
Ningepiga marufuku mihadhara ya dini inayokashifu dini zingine!
 
Nisingeruhusu watu waende loliondo kwa babu ila mimi tu na mke wangu!
 
Ningemteua Mh Rostam Aziz kuwa PM wangu ili tuwe karibu kuliko kujificha ficha.
 
Ningebadili katiba urais wangu usiwe na kikomo, hadi nitakapokufa!
 
Ningeliwataka watu wote wawe Makhanith.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom