1.usiseme mkewe hajui kesha jua na ndio maana anamchunguza,muda mfupi ujao atakung'oa meno.Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?
yeye hana mume sasa!!na wewe wa kwako tukitoka naye itakuwaje????
Una PEPO kali sana wewe dada. Tena wewe unatakiwa mtu akipata PM kutoka kwako azime computer kabisa itakuja na virus.
Mi nashangaa wanamuonea dada sophy ivi ivi maana ye kapendwa sasa afanyaje na hana mume?yeye hana mume sasa!!
Waume wenyewe ndo sisi, wale ambao hawajaoa hawafai.......vizuri vipo vichache bana na ndio kama hivyo tena tushachukuliwa.
Na mie nimetongozwa kama wewe na MO mlivyotongozwa!!!..i hope mwenzangu hili halitakushutua!..geeeeez!
da sophy karusha jiwe gizani naona limewapata wengi ... nahisi kama kuna watu anawalenga na wanajuana vile!!
wapi mamaaa FL1??
Duh Da Sophy mbona una makubwa weye! Ni Ujumbe unataka kuufikisha kwa muhusika nini? Maana sielewi msukumo umetokana na nini!
Eti Kama unatoka na mume wangu, ushasema ni wangu yaani si wako so ni mali yangu, yangu peke yangu wengine wote wanaomtumia ni wevi so kama unafurahi kuitwa mwizi sawa tu ila nijuavyo mie mume/mke wa mtu anauma!!
Da Sophy mwaya endelea kwa raha zako, tena nenda kabisa kajitambulishe kwa mkewe jamaa ukimweleza kuwa hutakaa umvunjie heshma yake wala kumletea ugomvi we ulichopenda cha mumewe so unaomba ruhusa rasmi akubali mshee. Nenda kistaarabu mambo yatakuwa byee na wala hatamchunguza tena.
Mh!! MJ1 akikutana na Mke mweye wivu ka wa Bujibuji naona atakua analifuata kaburi!!Da Sophy mwaya endelea kwa raha zako, tena nenda kabisa kajitambulishe kwa mkewe jamaa ukimweleza kuwa hutakaa umvunjie heshma yake wala kumletea ugomvi we ulichopenda cha mumewe so unaomba ruhusa rasmi akubali mshee. Nenda kistaarabu mambo yatakuwa byee na wala hatamchunguza tena.
Haswa madabwada hata mie nahisi hivyo yaani ameamua kumwaga lililo moyoni kwake
Wachoyo wanataka wafaidi peke yao!Mi nashangaa wanamuonea dada sophy ivi ivi maana ye kapendwa sasa afanyaje na hana mume?
Nini katikati? Mi nimesoma ndani ya mistari! Appreciated, indeed.....and its almost Friday, and me is preparing myself for the Friday!
Bado nawaasa hawa kina dada waache uchoyo, wakubali kugawana kidogo kilichopo.
sasa mbona juzi kinondoni uliniteleza, na wewe pia mchoyo!!!!
Eh si wanasema mtoto akililia wembe mpe!
Wachoyo wanataka wafaidi peke yao!
Huyo akikuchoka uje na kwangu. Mke wangu hana tabia ya kunichunguza.
da sophy .....njoo utupe maelezo ya jinsi utakavyo react ukisikia mpenzi wako mume wa mtu kumbe ana na mwengine namba 3 pembeni ........patamu hapo
Wachoyo wanataka wafaidi peke yao!
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?