Kama Nape, Mwigulu, January na sasa Kigwangalla wameathiriwa na siasa chafu basi "huyo" aliyeko nyuma ya Pazia ni mtaalamu haswa!

Hana phd. Ile title ya Dr ni ya Md
Nimechimbua mtandaoni nikakuta makala ya mwaka 2015 inayosema alikuwa anamalizia PhD mwaka huo, akiwa tayari ana shahada tatu za MD, MPH na MBA. It's quite likely ameshamaliza hiyo PhD kwa hiyo ni Dr Dr (double doctorate!)
Tukubali tu kuwa jamaa ni kichwa, siasa weka kando.
 
Wewe ulishindwa kupata division 1 ya PCB?
Wewe uliweza? Uko wapi now? Na kama uliweza utuambie ni rahisi kupata? Na kama ni rahisi kwanini wengi wanashindwa? Na kama wanaoweza ni wachache kwanini tusikubali kuwa hao wachache wanaoweza ni vipanga?
 
Nakuuliza wewe unaelialia!

Kipanga bungeni anatafuta nin?i....... Mtu anayekimbia fani yake ili akajumuike na akina Dr Msukuma na Dr Kibajaji mjengoni huyo ni kilaza tu!
 
Kwahiyo ulitaka bungeni kujae vilaza tu?
Vipanga wanahitajika bungeni na ndipo mahali pao kwasababu pale panafanyika maamuzi yanayohitaji akili kubwa.
 
Bwashee akili kubwa ya kujua Kusoma na Kuandika?!!!

Umenichekesha sana........unadhani walioweka SIFA za mbunge ni wajinga?!
 
Kicheko chako hakiwezi kubadilisha kipanga mwenye MD na digrii nyingine kadhaa awe kilaza.
by the way, 'bwashee' ni kitu gani?
 
Nakuuliza wewe unaelialia!

Kipanga bungeni anatafuta nin?i....... Mtu anayekimbia fani yake ili akajumuike na akina Dr Msukuma na Dr Kibajaji mjengoni huyo ni kilaza tu!
Kwa sasa Kigwa atakua anapigiwa simu na Membe(Role model wake) akipewa pole nyingi kwa kashikashi anazozipitia.

dodge
 
Bwashee ni kipanga wa maisha siyo hawa wa makaratasi akina Hamis na Ulimboka ambao hawajawahi kutibu hata sisimizi!
Hiyo ya vipanga wa maisha ni mambo yasiyokuwa na viwango vya kupimia, hata majambazi utawaita vioanga wa maisha. Tunazungumzia vipanga wa academics, jambo linalopimika kwa accredited standards.

Kama unazungumzia vipanga wa maisha hata Musukuma na Kibajaji uliowataja ni vipanga.

Hata kwenye kigezo chako cha 'kipanga wa maisha' Kigwa ametusua pia. Unaambiwa anamiliki mabasi, mashamba, mifugo, chuo. Wewe una nini?
 
Kwahiyo kumiliki mabasi, chuo na mifugo ndio kutusua........hahahaaaa!

Mbona sasa haishi kulialia?!

Unaelewa maana ya ownership bwashee?!........ Huko kulialia na hivyo viYutong na tumbuzi ndio ukilaza wenyewe.
 
Hamis amekalia kuti kavu. Bashite kama anaweza angusha miamba kama Nape. Huyu Kingwa anakalia kusema tu anamfahamu mbaya wake. Si aseme tu Bashite. Ila kashikwa pabaya.
Alijifanya kutumia pesa kuwalipa kina Ebitoke eti wanatangaza utalii. Hivi ni Mtanzania yupi asiyejua kuna mlima Kilimanjaro?
Kuna misambwanda ya bongo movie walikuwa wanaivizia

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom