Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,177
Ndio umerudi nyumbani uko hoiiiiiiiiiiiiii unakutana na vituko kama hivi,ungefanyaje/ungewachukulia hatua zipi hawa vijana???
ningechukua hatua kali sana tena ngumu za kisheria.......
ningewapeleka car wash waoshwe na presha kali.au ningetafuta gari policcm ya yale maji ya pilipili wanaotumia kufukuza wanafunzi na wana cdm wanaofanya mikutano bila kibali wapigwe presha mara mbili wacngerudia tena
ningechukua hatua kali sana tena ngumu za kisheria.......
ningechukua hatua kali sana tena ngumu za kisheria.......
Nimependa sana mawazo yako. Sikwamba ni mazuri ila nikilinganisha na ya kinadada naona hali halisi ya upendo wa mama kwa mwanawe hata kama kakosea. Swts atawaosha then mboko; sasa wewe kuwapeleka car wash si ni kuwauwa? unajua ----- unavyowasha ndugu yangu? hongereni sana kinadad kwa michango yenu.ningewapeleka car wash waoshwe na presha kali.au ningetafuta gari policcm ya yale maji ya pilipili wanaotumia kufukuza wanafunzi na wana cdm wanaofanya mikutano bila kibali wapigwe presha mara mbili wacngerudia tena
hahahahaha!!Zipi sasa Pretaningechukua hatua kali sana tena ngumu za kisheria.......
Safi sana,,mwenzako mpaka sasa hivi sijajua kitu cha kuwafanya hawa machaliiNingeenda kuwaogesha haraka wasije wakadhurika na hayo waliojipaka, halafu ningemuita niliyomuachia awaangalie hao watoto aje kusafisha, na ningempa onyo kali au kumfukuza kama anafukuzika kiurahisi.
hahahaha!! kwa uharibifu kama huo sidhani kama utakuwa na nguvu ya kukamata kibokoTeh nisingewalazia damu baada ya kuwasafisha wangekula mboko ad wajojoe
hahahahaha!!!! We jamaaa hahaha una watoto kweli??ningewapeleka car wash waoshwe na presha kali.au ningetafuta gari policcm ya yale maji ya pilipili wanaotumia kufukuza wanafunzi na wana cdm wanaofanya mikutano bila kibali wapigwe presha mara mbili wacngerudia tena
Hawa watoto wanakipaje wanaonesha hapo usikute ni painters wazuri au wachoraji,huwa unawaogesha afu unawapeleka chuo cha sanaa au unawahamishia kwa masudi Kipanya haraka sana.Ndio umerudi nyumbani uko hoiiiiiiiiiiiiii unakutana na vituko kama hivi,ungefanyaje/ungewachukulia hatua zipi hawa vijana???
View attachment 87844
hahahah Tena hii ni Individual Talent/kipaji binafsiHawa watoto wanakipaje wanaonesha hapo usikute ni painters wazuri au wachoraji,huwa unawaogesha afu unawapeleka chuo cha sanaa au unawahamishia kwa masudi Kipanya barakamanono sana.