Hili la kupeleka bweni akiwa na miaka kumi na nane sidhani kama lina-apply kwa kila mtu. Sasa imagine mtoto amemaliza darasa la saba akiwa na miaka 12 anatakiwa kwenda secondari ya bweni, ndiyo amechaguliwa huko. Au katika kutafuta shule nzuri unakuta mtoto analazimika kuishi mbali na nyumbani kwako, utafanyeje? Kuna mambo hayazuiliki.Binafsi huwa napinga sana kitendo cha watoto wadogo kupelekwa shule za bweni...mtoto anatakiwa kuwaacha wazazi wake na kukaa mbali mpaka anapofikisha umri wa miaka 18.....
Habarini waungwana!
Jana nilikutana na jamaa yangu mmoja ambaye ni muhudumu wa afya, akanipa ofa (si kawaida yake). Kwa hali hiyo ikabidi nimdadisi, ndo akaniambia amepewa ahsante baada ya kumfanyia uchunguzi na councelling mtoto mmoja wa form 1 (13yrs) katika shule fulani ya boarding!
Baada ya kudadisi vizuri zaidi akaniambia kuwa huyo mtoto amelatiwa na mtu mzima (possibly mlinzi wa shule) ila ameambiwa amfanyie councell mtoto asije kutangaza (Shiit) ili kuharibu jina la shule hiyo!
Sasa kama mzazi najiuliza usalama wa watoto wetu huko mashuleni, tunawapeleka bado wadogo sana then inakuwa ni mbali halafu wanakaa muda mrefu,
Jambo hili limeniuma ndo maana nikalileta hapa!
Ushauri wangu Kama mzazi, muangalie watoto wenu, Msijifanye mko biiize kutafuta hela mpaka mnawatupa boarding school wakiwa wadogo(hata kujitetea hawawezi)
Naandika ikiwa bado nimeumia as if ni mtoto wangu ndo amefanyiwa hivo!
Hivi nyinyi hamjui kuwa mtanzania anataka mabadiliko bila yeye mwenyewe kubadilika?dist111 kama mzazi na kama mwananchi mwenye kufuata maadili mema!! chukua hatua ...leo kwa mwenzio kesho kwako!! usimlee 'a defiler'...chukua hatua stahiki. huitaji kwenda polisi bali unahitaji kuanika maovu yote hadharani...shule gani hii ambayo inashiriki kuficha uovu na kumuonga 'daktari' ambaye anakaaa baa kunywa hiyo hongo akifurahia uharibifu ..kweli hizi zama za kizazi cha nyoka... jivue gamba dist111 na chukua hatua ...usimung'inye mung'unye maneno!!
"Binafsi huwa napinga sana kitendo cha watoto wadogo kupelekwa shule za bweni...mtoto anatakiwa kuwaacha wazazi wake na kukaa mbali mpaka anapofikisha umri wa miaka 18.....
habarini waungwana!
Jana nilikutana na jamaa yangu mmoja ambaye ni muhudumu wa afya, akanipa ofa (si kawaida yake). Kwa hali hiyo ikabidi nimdadisi, ndo akaniambia amepewa ahsante baada ya kumfanyia uchunguzi na councelling mtoto mmoja wa form 1 (13yrs) katika shule fulani ya boarding!
Baada ya kudadisi vizuri zaidi akaniambia kuwa huyo mtoto amelatiwa na mtu mzima (possibly mlinzi wa shule) ila ameambiwa amfanyie councell mtoto asije kutangaza (shiit) ili kuharibu jina la shule hiyo!
Sasa kama mzazi najiuliza usalama wa watoto wetu huko mashuleni, tunawapeleka bado wadogo sana then inakuwa ni mbali halafu wanakaa muda mrefu,
jambo hili limeniuma ndo maana nikalileta hapa!
Ushauri wangu kama mzazi, muangalie watoto wenu, msijifanye mko biiize kutafuta hela mpaka mnawatupa boarding school wakiwa wadogo(hata kujitetea hawawezi)
naandika ikiwa bado nimeumia as if ni mtoto wangu ndo amefanyiwa hivo!
Day ndiyo mpango mzima
Jamani hatuwapeleki boarding kwa sababu ya ubize, mazingira yanasababisha. Sasa kwa hali hii ya usafiri Dar es salaam, mtoto kusoma day si mateso makubwa? Nina jamaa yangu anakaa Makongo juu mwanae anasoma st Anthony sijui, kila siku anarudi saa tatu usiku, si mateso hayo? Lakini ujumbe umetufikia mkuu, nina binti yupo boarding. Kila siku roho juu juu tu jinsi ya kumlinda na huu ulimwengu katili. Mpaka wakati mwingine nafikiri I worry too much. Kitaniua na presha hiki kitoto. Naomba tu waniachie walau afikishe 18!
Ndio mimi naamini mtoto anatakiwa kuachana na wazazi kwa muda mrefu hasa shule baada ya kujitambua na kujua haki zake....Angalau from form one sio mbaya sana