Kama Mwendokasi imewashinda wapeni JKT waendeshe!

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,533
17,452
Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!

Sasa na mabasi Tena jamani? Haya mabasi ya mwendokasi tu haya yamewashinda serikal? Yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi tu yaani imeshindwa kutafuta hats makondata waaminifu Wadai nauli TU!!?

Sasa hii serikali.inaweza nini?

Wapeni jkt waonyeshe uwezo wao!

Wasimamie mwendokasi tuone wapo siriaz kiasi Gani kuliko kuwapa wageni kusimamia mabasi!!

Tuwe siriaz jamani this is too much aiseh!

Usiku mwema!!
 
Wapewe kwani jkt Hawana magari!!?watashindwa kujiendesha!!?hai mnaowapa mnawajua Wapoje!!?

Au ni ufinyu was fikra!!?

Basi wakishindwa wawape magereza tuone uwezo wao pia!!
Baada ya kufanya h9yo shughuli husika muda mrefu .Mfano JKT wana uzoefu kwenye kilimo wana uzoefu zaidi ya miaka 60 hilo la juendesha mabasi wana uzoefu gani?
Hawana
 
Angepewa hata kampuni kubwa ya mabasi nchini, mfano sumri au superfeo. tatizo mradi upo midomo mwa wanaccm ndio maana kila kitu hakiendi sawa. Pangekuwa na mtari mkubwa kati ya serikali na chama kwenye maslahi basi tungekuwa mbali sana.

Serikali inailisha CCM wakati huo serikali hainufaiki na ccm. mabilioni mengi sana yanachukuliwa na chama kwa matumizi binafsi ya makatibu na wenyeviti wao huku greangaurd wakipewa vichench tu kwenye makambi na kazi maalumu.
 
Wale wavuta bangi wa 4 za 32?
Jeshi ni jeshi mbona kilimo wanaweza!!?acheni kudharau jeshi!!

Mi naamini nikishika hatamu jkt na magereza wanaweza kabisa kutumika kama lango la uchumi.wa nchi!!!

Hata viwanda vya sukari,mafuta kula,Wine ya zabibu ,viwanda vya nyama na maziwa,nguo vyote wanaweza simamia na nchi ikasonga kuliko kutegemea sekta binafsi pekee ambayo inazingua Hadi kwenye sukari!!
 
Wapewe kwani jkt Hawana magari!!?watashindwa kujiendesha!!?hai mnaowapa mnawajua Wapoje...
Shida sio nani wa kuongoza ni mtaji .Anatakiwa atakayeleta mtaji mkubwa mpya anunue mabasi mengi na kuweka mifumo ya kisasa ya uendeshaji

Majeshi yote hayana pesa xa kuwekeza pale
 
Jeshi ni jeshi mbona kilimo wanaweza!!?acheni kudharau jeshi!!

Mi naamini nikishika hatamu jkt na magereza wanaweza kabisa kutumika kama mango la uchumi.wa nchi!!!

Hata viwanda vya sukari,mafuta kula,Wine ya zabibu ,viwanda vya nyama na maziwa,nguo vyote wanaweza simamia na nchi ikasonga kuliko kutegemea sekta binafsi pekee ambayo inazingua Hadi kwenye sukari!!
Umeongeza na Magereza.....!🙄
 
Back
Top Bottom