Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,152
- 1,696
Milango bado ipo wazi kwake.
Nikiwa kama mwenyekiti wa wavuta bange hapa nchini.Mkuu bado una nafasi ya kuacha bange
Labda nchi yake zareli imepigwaAkuombe msamaha kwa kukuumba au kwa ajili ya nini?
Shughulikia matatizo yako inaonekana unazidi kudidimia na mwishowe kuangamia. Kuna tatizo kubwa unalo kiakili na kisaikolojia, tafuta ushauri kwa watu upone.Milango bado ipo wazi kwake.
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Nikiwa kama mwenyekiti wa wavuta bange hapa nchini.
Ninasema, bange haiwezi kumfanya mtu aandike utopolo huo.
Nikushauri labda lawama zako ungezipeleka kwa WALEVI WA POMBE.
Walevi WA pombe hayo mambo hatuna . Kwanza huo muda WA kumuwaza Mungu tunautolea wapi sis na mbususu TuNikiwa kama mwenyekiti wa wavuta bange hapa nchini.
Ninasema, bange haiwezi kumfanya mtu aandike utopolo huo.
Nikushauri labda lawama zako ungezipeleka kwa WALEVI WA POMBE.
Unachokitafuta utakipata .Milango bado ipo wazi kwake.
Manina, sipo hapa kutafuta content.Tafuta content nyingine mzee sio kila siku mada ile ile.