1. Mungu aliumba ulimwengu, na ulimwengu si dunia wala nyota, dunia yetu ni moja ya familia ya solar yenye sayari 9 na baba wa familia hiyo ni jua, ambavyo vilizaliwa miaka milioni 4600 baada ya ulimwengu kuwapo, ukitaka kujua kwa usahihi kasome The Big BangKama Mungu aliumba mbingu na dunia (nayo ni sayari), sayari nyingine kama Venus, Mars, Jupiter, Uranus n.k ziliumbwa na nani?
2. Kama sayari hizo zina viumbe hai wenye uwezo kama binadamu tulionao wanamuabudu nani, ni Mungu huyu wetu tunayemwabudu au wao wana Mungu wao?
3. Ilikuwaje uwepo wa viumbe (kama wapo) hai kwenye sayari hizi haukutajwa katika vitabu vitakatifu na manabii au mitume? mpaka binadamu waanze wenyewe utafiti?
kwani Mbingu iko wapi?Sayari zingine ni sehemu ya mbingu. Ndio maana hakuna maisha huko.
kwani Mbingu iko wapi?
na nani aliyekwambia kuwa huko hakuna maisha?
duru za utafiti zinaonesha kuna viumbe haiWewe uliambiwa kuna maisha? Na nani vile?
duru za utafiti zinaonesha kuna viumbe hai
na wewe nani aliyekuambia kuwa hakuna uhai huko?
una ushahidi?
Ushahidi wa kuwepo viumbe hai ni kwasababu ya kupatikana kwa:-Ushahisdi wangu ni kwamba hatujauona huo uhai. Sasa wewe sijui hizo duru zako za utafiti zimekuonyesha. Those are only speculations. There is a lot more to support life in a planet than mere soeculations.
Ushahidi wa kuwepo viumbe hai ni kwasababu ya kupatikana kwa:-
Methane, Amonia na Hydrogen ambazo ndio asili ya uhai
unavyosema kwa uhakika kuwa kuna viumbe wengine, unauhakika!!???1. Mungu aliumba ulimwengu, na ulimwengu si dunia wala nyota, dunia yetu ni moja ya familia ya solar yenye sayari 9 na baba wa familia hiyo ni jua, ambavyo vilizaliwa miaka milioni 4600 baada ya ulimwengu kuwapo, ukitaka kujua kwa usahihi kasome The Big Bang
2. Kutokana na ufinyu wa ufahamu wetu, wengi hudhani kuwa dunia ndio yenye viumbe hai peke yake hii si kweli, sola system iko ndani ya Milk way Galaxy, Milk way Galaxy hii inafamilia nyingi sana za kinyota ambazo kila familia ina viumbe hai, kwa ufupi Ulimwengu una zaidi ya Galaxies bilion 100, na kuna familia nyingi sana za kinyota zinazo kaliwa na viumbe hai
3. Uwepo wa viumbe hai ktk sayari nyingine haukutajwa na manabii wala mitume wanaodaiwa kuwa ni wa Kimungu kwa kuwa ufahamu wao ulikuwa mdogo sana kisayansi
Umeuliza kwamba km wapo viumbe hai kwenye sayari zingine wanamwabudu Mungu yupi?
wanatakiwa wamwabudu Mungu aliyeumba ulimwengu (Universe) ambaye anaitwa THE SUPER NATURAL POWER yaani nguvu ya asili, ina sikitisha kuona watu wa dunia hii hawaiamini nguvu ya asili, wana dini zao, kila dini ina kijimungu chake, wengine wanadai wanamwabudu Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo, wengine Ng'ombe, wengine Jua, wengine Mito, nk,
Na wewe " come down"ndo umeandika nini!? Nchi ni sehemu yaweza kuwa kavu na isokavu/kwa pamoja inayopatikana ndani ya dunia, mbingu ndio ina mjumuisho wa vitu anuwai. Usichanganyikiwe kijana.Hakuumba mbingu na dunia aliumba mbingu na nchi na nchi siyo dunia tu
Vitabu vitakatifu, Quran na Biblia vyote vinasema Mungu wakati wa mwanzo wa uumbaji wake, aliumba mbingu na nchi (dunia).
Kuna jambo moja linalonisumbua kwa muda mrefu ambalo ningependa wajuzi wa elimu ya dini au yeyote mwenye uelewa anipe majibu.
1. Kama Mungu aliumba mbingu na dunia (nayo ni sayari), sayari nyingine kama Venus, Mars, Jupiter, Uranus n.k ziliumbwa na nani?
2. Kama sayari hizo zina viumbe hai wenye uwezo kama binadamu tulionao wanamuabudu nani, ni Mungu huyu wetu tunayemwabudu au wao wana Mungu wao?
3. Ilikuwaje uwepo wa viumbe (kama wapo) hai kwenye sayari hizi haukutajwa katika vitabu vitakatifu na manabii au mitume? mpaka binadamu waanze wenyewe utafiti?
Mungu anaitwa the super natural power? Sijakupata hapo mkubwa. Hebu fafanua kidogo. Pia kuna kitu Kizuri hapo umekiongelea the Big Bang!1. Mungu aliumba ulimwengu, na ulimwengu si dunia wala nyota, dunia yetu ni moja ya familia ya solar yenye sayari 9 na baba wa familia hiyo ni jua, ambavyo vilizaliwa miaka milioni 4600 baada ya ulimwengu kuwapo, ukitaka kujua kwa usahihi kasome The Big Bang