Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?


Kweli mengi kawanunua wote kawazidi adi serekari duh. Noma sana sasa wewe umejuaje kama kawanunua wote
Mengi sio Mungu ila nyinyi mnataka kumpaka matope bila kua na ushaidi
Fisadi hatuoni kesi yake ya kifisadi
Mwizi hatuoni kesi yake ya wizi
Mnyonyaji mnajua nyinyi sisi tunaona anavyowasaidia watu wenye matatizoo
Mmpandikizwa chuki bila kua na ushaidi duuh
Eti rostam kampa mengi rushwa ili asiseme ufisadi wake ili hari tunajua wazi hao wawili hawaivi chungu kimoja
Kuweni na hoja za mashiko mnapoanza kumchafua mtu
 
Pamoja na yote mbona prof. Muongo nae asisimamishwe kuupisha uchunguzi!!!!! Kwa muonekano huu muongo kala na baba yake.
 
Muhongo lazima aondoke na mahakamani watapelekwa wale wote waliohusika ndivyo alivyotuambia Mwigulu jana au hamkusikia?
 
Ushahidi wa Muhongo uko wap? Kuna ushahidi wa kutosha kuhusu ufisadi wa Mengi fuatilia mambo usibugizwe maneno na wanasiasa mchwara

Mengi ni Fisadi kila kona na Ufisadi wake hupenya mpaka kwenye michepuko maana ana Michepuko balaa, aliachana na mke wake mkubwa kisa Michepuko, Mengi si Kioo cha Jamii, ni Mwizi anaishi kwa mbinu chafu chafu na pindi akishitukiwa hukimbilia kwenye TV zake kupakaza Ubaya na kuomba Huruma za wananchi.
 
Muhongo lazima aondoke na mahakamani watapelekwa wale wote waliohusika ndivyo alivyotuambia Mwigulu jana au hamkusikia?

Mwigulu anawazuga ili msimwandame Kumbuka yeye ana soo kubwa kwani yeye na Mengi ndiyo wakimsaidia Rostam kutorosha mapesa Mengi pasipo kulipa kodi.
 
Nasikia hata wewe ulikuwa mchepuko wake
 
Rostam na Mengi walikuwa Maadui zamani, Lakini sasa si Maadui tena na Pesa aliyompatia Mengi ndiyo imemaliza Ugonvi wao.
 
Rostam na Mengi walikuwa Maadui zamani, Lakini sasa si Maadui tena na Pesa aliyompatia Mengi ndiyo imemaliza Ugonvi wao.

Wee ni mbea harafu liongooo
Tuambie walipeana izo pesa wap na uliwaona au? Nan alikwambia kwa ushaidi gani
 
Muhongo lazima aondoke na mahakamani watapelekwa wale wote waliohusika ndivyo alivyotuambia Mwigulu jana au hamkusikia?

Kitu gani kinamfanya asiondoke, Tiba, Maswi, Chenge na wafanyakazi saba tra tayari wapo nje. Leo magazet ya serikali tena Daily news na Habari leo wameripoti kuwa wahisani wameanza kutoa hela baada ya Rais kutekeleza maazimio ya Bunge. Hapo ina maana gani!!
1. Hela za escrow ziliibiwa ndiyo maana walizuia misaada.
2. Kama sio wapinzani sisi wanachi tungekiona, huku mafisadi wanafaidi kwa hela za escrow.
3. Kuna kitu gani kinazuia CCM isikabidhi nchi kwa UKAWA!!
Mhongo must goooooo, jana uliona kilichompata Mh. Mahanga kuimbiwa wimbo maarufu ((Mwizi mwizi mwizi mwizi mwizi, escrow escrow escrow)) ndicho kitafuata nchi nzima.
 

Vitu vingine mnavyoandika mbona havina logic, unasema Rostam alimpa Mengi rushwa ili kumziba mdomo kuhusu kukwepa kodi, sasa mimi nashangaa kwani Mengi ndo mkaguzi wa kodi? Hiyo rushwa si walitakiwa wapewe TRA?

Inawezekana kweli Mengi katika utajili wake kuna madili aliyofanya visivyo halali, lakini at least amewekeza nchini, ameongeza ajira hata kama ni kwa kulipa mishahara midogo lakini anasevu watu wasiwe panya road.

Hao mnaowatetea wanachukua pesa na kuipeleka nje kiasi kwamba haisaidii Tanzania hata kidogo.
 

Kaachonjo
Una maana yapo mengi ya kumkumbusha mkuu wa nchi. Hilo ni jambo zuri. Hata hivyo badala ya kumshambulia mleta habari ni vema kujiuliza endapo kinachosemwa ni kweli ama la. Nchi zilizoendelea ziliwekeza zaidi kutengeneza fursa kwa watu wao kumiliki (kushiriki) njia kuu za uchumi, bila kujali financial and economic muscles za watu hao. Jambo muhimu leaders must be visionary. Wasifikirie kipindi kile tu wapo madarakani, wafikirie hadi miaka karne kadhaa ijayo. Tunayoona yanaendelea China ni kwa kuwa wao waliamua kuwekeza kwa watu wao, na kuwatengenezea fursa kumiliki/kuchangia uchumi. Sio kuwalaani kuwa waendelee kuuza juice na andazi!:eek2:.
Endapo tunadhani kuwa sisi uwezo wetu ni kuuza juice then Mwalimu Nyerere alikosea aliposema/shauri kuacha uchimbaji wa madini hadi tuwe na kizazi chenye uelewa. Almost 60 years baada ya uhuru Tanganyika haina watu hao ama kwa kuwa tunalazimisha kutowaona ijapokuwa wapo...maana fursa zinatengwa kwa ajili ya wageni
Nimalizie kwa kusema, yumkini Mengi kaongelea hilo, kesho Kaachonjo amkumbushe mku wa nchi kuhusu barabara, keshokutwa mwingine amkumbushe kuhusu maji, basi mambo yanaenda. Hakuna sababu ya kumshambulia Mengi
 

Minyoo minyoo tu.
 
Minyoo minyoo tu.

Nimepiga SINGE kichwani mwako na Tumboni mwako nipo nimetulia ndiyo maana wewe bado unaomwabudu Mengi kwa kumuona ni MUNGU na njia sahihi yakijukomba kwa Mengi ni kujitoa Fahamu na kuwapinga watu juu w
 

Mengi alikuwa na Chuki kubwa juu ya Rostam hapo awali, na Rostam baada ya kuuza vyake akataka kuondoka pasipo kulipa Kodi lakini akakumbuka kuwa endapo akaondoka pasipo kulipa Kodi lazima Mengi atalivalia njuga kisha kupakaza mbaya.ndipo Rostam alipoamua kumziba mdomo kwa Mabilioni ya pesa na kweli Mengi yupo kiimya chezea Mengi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…