Kama Muhongo hakuhusika, Mengi anahusikaje?

Kama Mengi ameweza kushawishi Bunge lenye ccm wengi na pccb na CAG na akafanikiwa basi hakuna serekali hata rais ameshindwa kazi hao wateule wake wote hawafai na Muhongo ni mmoja wao
 
uchunguzi wa nini wakati bunge lilishatoa mapendekezo

Bunge halijatowa mapendekezo, bunge limetowa maazimio na moja kati ya hayo maazimio ni hilo la uchunguzi kuendelea, tena ni azimio la tatu, na kama hujalisoma ni hili hapa:

Azimio la Tatu: Linasomeka; "Bunge linaazimia kwamba TAKUKURU, Jeshi la Polisi na vyombo vingine husika vya ulinzi na usalama vichukue hatua stahili kwa mujibu wa sheria za nchi yetu dhidi ya watu waliotajwa kwenye taarifa maalum ya Kamati husika na vitendo vyote vya kijinai kuhusiana na miamala ya Akaunti ya ESCROW, na watu wengine watakaogundulika kufuatia uchunguzi mbalimbali unaoendelea kuhusu kuhusika kwao katika vitendo hivyo vya jinai"

Majibu ya Rais: Vyombo husika vimekwishaagizwa kufanya hivyo na kazi imeanza na inaendelea. Ikiwa wapo watu wenye makosa hatua zitachukuliwa kwa mujibu wa sheria.
 
Thanks
 
Watu wengine ni wapuuuzi. Mengi ndo kaanzisha akaunti ya escrow? Mengi ndo kawashawishi kina Muhongo wakakwapue hela yenye Mgogoro? Na subiri orodha ya stanbic itoke ndo mtaumbuka na mihongo yenu .
 

Hiyo report ya CAG na PCCB umeisoma wapi inaposema muhongo awajibishwe?ukurasa wa ngapi? Report ya PCCB umeiona wapi?unaweza kuiweka humu?

Aliesema pesa sio za umma ni kikwete,kwa nini usiseme kikwete must go? Kikwete kasema pesa sio za umma alafu unataka Muhongo aondoke,unatumia akili kufikiri au makalio?muhongo na kikwete nani mkubwa?
 
Watu wengine ni wapuuuzi. Mengi ndo kaanzisha akaunti ya escrow? Mengi ndo kawashawishi kina Muhongo wakakwapue hela yenye Mgogoro? Na subiri orodha ya stanbic itoke ndo mtaumbuka na mihongo yenu .

Muhongo kakwapua wapi?leta ushahidi muhongo kapewa kiasi gani vinginevyo unapenda umbea na ushangingi,kaimbe taarabu basi.
 
Mengi na redio zake kakazana kuhusu Muhongo.mda sio mrefu watamuhoji Gafulila kuhusu swala hilo kupitia East Africa fm
 

Hii ndio post yangu ya mwisho kukunukuu,nimegundua huna akili.

Hizo report za cag,pccb,tra zilizomtaja muhongo kama mtu mbaya ni zipi? Kwa nini mnapenda kutunga umbea na kuuleta humu
 

Kosa ila katiba la kicisadi linalomlinda raisi kikwete nae apigwe chini. Kama uamini ngoja uone bunge likirudi uone kama kama bunge hawajataka kichwa cha pinda kama njia ya kumwajibisha kikwete. Ila pia wanaweza kumu-impeach rais kama ulimsikia tundulisu bizuri kwenye bunge la escrow
 


Hata kama wote ni UKAWA HATUWEZI KUWA NA MTAZAMO UNAOFANANA KWA KILA JAMBO.BINAFSI NA KWA UELEWA WANGU NAMWONA MENGI KAMA MFITINI,MTU WA VISASI,MWENYE GILBA NA HILA,MWENYE GUBU/GUGU N.K.NA PIA SIKUBALIANI NA MAPENDEKEZO YA BUNGE KUHUSU ESCROW NA HATA KAZI YA PAC SIKURIDHIKA NAYO.LAKINI MIMI NI FOLLOWER MZURI WA UKAWA NA MUUMINI MZURI WA SAYANSI KWENYE KUJADILI HOJA.
 
Acha ubege wewe Mengi ndiyo enginia wa yanayomkuta kiongozi bora 2014 Prof. Muhongo, Unahitaji ushahidi gani zaidi kwani kipindi wanalumbania vitalu hukusikia au unajisahaurisha bwana kasinge. Mengi ni Fisadi mkubwa Tanzania hii amefilisi NBC kwa kugoma kulipa madeni aliyokopa, na kama ni mtu makini uliposoma ripoti ya CAG hakuna mahali panamtaja Muhongo kuchukua pesa za Escrow, pia unanisikitisha kama bado umekariri kuwa pesa zile zilikua za umma. napata wasiwasi na ufuatiliaji wako wa mambo, rais alikiri kuwa pesa zile hazikua za umma upo mzee, acha porojo zisizo na mantiki, tunataka maendeleo hatutaki porojo na ushabiki wa kisiasa.
 

Mengi anawalipa watu fedha ili wawachafue watendaji kwa manufaa yakehilo halina ubishi na kila mtanzania analitambua , ni mbinafsi wa kupitiliza, angalia historia yake amegombana na Masilingi, Malima Lowasa, na wengine wengi akijitia ni mzalendo hana lolote tunafahamu hilo.
 

Watendaji wa CCM wanakosea mnasema Mengi anawachafua? Wewe naee unatetea maovu unayoongea hayana ushahidi.
 
Mengi ni zaidi ya jambazi na fisadi namba moja.
karibu Mueshimia muongo( samaani keyboard yangu aina erufi moja katika jina lako)

Join Date : 5th January 2015
Posts : 67
Rep Power : 314
Likes Received15
Likes Given4
 
Hii ndio post yangu ya mwisho kukunukuu,nimegundua huna akili.

Hizo report za cag,pccb,tra zilizomtaja muhongo kama mtu mbaya ni zipi? Kwa nini mnapenda kutunga umbea na kuuleta humu

mkuu hivi unajitambua kweli?au upo upo tu...!mwenzio kataja taasisi 4,wewe unataja taasisi 3.una maana gani?NAOMBA JIBU.Maana Bunge ndilo lililo unganisha taarifa kutoka taasisi 3. nakutoa hitimisho la watuhumiwa,halafu wewe unataka jina la Muhongo kwenye ripoti ya TRA,TAKUKURU na CAG unajua hadidu za rejea walizopewa CAG,TAKUKURU,TRA na PAC?nauliza,hivi uko vizuri kichwani mwako?
 

Ushahidi wa Muhongo uko wap? Kuna ushahidi wa kutosha kuhusu ufisadi wa Mengi fuatilia mambo usibugizwe maneno na wanasiasa mchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…