Blandina Nyoni naye hivyo hivyoHata Jairo alisimamishwa kupisha uchunguzi.
Mengi mpuuzi sana.Amewajibishwa Maswi na watendaji wendine wa Tanesco kwa utendaji mbaya wa Wizara ambayo anaiongoza Muhongo. Muhongo yupo kiporo anazunguka kama pia. Sasa wanapoandika waandishi wa Habari wa IPP kwa nini tunakimbilia kusema ni Mengi? Kwani wale waandishi wa IPP hawajui kutafuta habari na kwamba Mengi ndo anawatafutia habari? Kwamba Mengi kakosa Vitalu ndo maana anamshambulia Muhongo? Leteni ushahidi hapa muache hapa. Mimi naamini CAG, PCCB, TRA na Bunge hawakuwa Vihiyo kusema fedha ni za umma kwamba Muhongo awajibishwe. Na basi mtuambie kwamba Mengi aliwahonga CAG, PCCB, TRA na Bunge ili waseme kwamba pesa ni za umma. Muhongo yupo kulinda maslahi ya wakubwa na msimsingizie Mengi, mmeharibu wenyewe. Muhongo must GO.
Unajua ni watu wa CCM ndo wanasema Mengi ni Mbaya. mbona hamsemi CAG, PCCB, TRA na Bunge ni wabaya. Mengi amewachoma nini? Leteni ushahidi basi na sisi tujue ubaya wake. Ila sisi CAG, PCCB, TRA na Bunge wametuambia Muhongo no mtu mbaya na uhahidi upo. Leteni na wa kwenu.Mengi mpuuzi sana.
Nikweli mkuu Mengi ni Mpuuzi sana kwasababu ndiye aliyewaambia wakina muhongo wapokee rushwa ili aje awaandike kwenye magazetiMengi mpuuzi sana.
Hivi mengi anafanya kazi wizara gani akaifisidiMengi ni zaidi ya jambazi na fisadi namba moja.
Mengi ni zaidi ya jambazi na fisadi namba moja.
Mengi mpuuzi sana.
Mh.Asumpta mambo?Maswi hakuwajibishwa, amesimamishwa kupisha uchunguzi. Kumbuka hilo.
Nikweli mkuu hujakosea kabisa!! Vipi umeshajifungua?Parameter tatizo lako tunalijua..umeoza kuanzia upande wa nyuma kuanzia kiunoni kushuka chini kidogo..hivyo hatupati shida na comment zako za kumtetea mumeo!!ulimwengo unajua mr.mengi ni muadifu...msafi...hana chembe ya udalali
Maswi hakuwajibishwa, amesimamishwa kupisha uchunguzi. Kumbuka hilo.
Maswi hakuwajibishwa, amesimamishwa kupisha uchunguzi. Kumbuka hilo.
Mengi mwizi tu. Dawa yake muhongo hahahaha