Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,163
- 22,739
And the vice versa is true "If the mountain won't go to Mohammed, then Mohammed must go to the mountain"
Putin anapigana vita ya kuogopa ningekuwa mimi ningeisafisha kabisa Kyiv wacha dunia inite dictator sawa tuHabari za Ukraine ukisikiliza ni kama zile zile tu zinajirudia. Nothing new Ukraine apambane kulipua moscow ndio vita itaisha...
Hata yeye (Putin) anatamani hilo ila haweziPutin anapigana vita ya kuogopa ningekuwa mimi ningeisafisha kabisa Kyiv wacha dunia inite dictator sawa tu
Roho ilimuuma sana yale madege yake ya gharama yalivyoteketezwa, unaambiwa hasara ni bilionsHata yeye (Putin) anatamani hilo ila hawezi
Si kweliHata yeye (Putin) anatamani hilo ila hawezi
First time vita inaanza tu alitamka hivyo lkn mpaka Leo Ngoma ngumu.Hata yeye (Putin) anatamani hilo ila hawezi
Pengine stock yake imepungua so kunauwezekano kujaribu sana . Pia kuimaliza kiev inabidi mabomu yote aliyonayo kiev ni kubwa sana, according to Zelensky pale white house alisema ni baadhi tu ya sehemu ndio Putin kaharibu haribu na maisha yanaendelea as usual. TRUMP Alidhani kiev ni magofu tupu. And ukraine wanajitahidi kuzuia makombora.Putin anapigana vita ya kuogopa ningekuwa mimi ningeisafisha kabisa Kyiv wacha dunia inite dictator sawa tu
We unafikiri ni rahisi eee... Ona nayeye anapokea kichapoPutin anapigana vita ya kuogopa ningekuwa mimi ningeisafisha kabisa Kyiv wacha dunia inite dictator sawa tu
Mbona unaongea Kwa uchungu kama vile una uswahiba na Putin.Yaani Putin avamie Ukraine halafu utaki na yeye apigwe?!🤔Putin anapigana vita ya kuogopa ningekuwa mimi ningeisafisha kabisa Kyiv wacha dunia inite dictator sawa tu
Jamn hizi Kambi za pande zote mbili haziiishi .Kila siku zinalipuliwaAnd the vice versa is true "If the mountain won't go to Mohammed, then Mohammed must go to the mountain"
View attachment 3394908
Hata yeye anatamani hivyo, lakini anashindwa.Putin anapigana vita ya kuogopa ningekuwa mimi ningeisafisha kabisa Kyiv wacha dunia inite dictator sawa tu
Ni kweli tusisaau wale ni ndugu kabisa kwanza mtu mwengine kuwatofautisha kazi sana ingekuwa uko Ukraine ni German weeeeeeee MOTO ungewashwa sio wa kitoto..Pengine stock yake imepungua so kunauwezekano kujaribu sana . Pia kuimaliza kiev inabidi mabomu yote aliyonayo kiev ni kubwa sana, according to Zelensky pale white house alisema ni baadhi tu ya sehemu ndio Putin kaharibu haribu na maisha yanaendelea as usual. TRUMP Alidhani kiev ni magofu tupu. And ukraine wanajitahidi kuzuia makombora.
Mabomu yana take time kuyatengeneza na cost ni kubwa, kama alivyosema Trump kuna wakati watoto lazima uwaache wapigane kwanza kisha Daddy unawaamulia wakishakuwa wamechoka au wameumia hapo Wataheshimiana.
Putin kama kuitesa ukraine kaweza ila hadi aamuliwe , na ili kuimaliza Ukraine anahitaji Nuke, sema hana sababu ya kutumia anataka wananchi wachoke wafanye mapinduzi, majuzi kati nilisikia Putin anaitaka Nchi nzima aiunganishe na Russia. Pengine ni sababu Pia ya kutoshambulia kwa kupindukia.
Putin anapigana vita ya kuogopa ningekuwa mimi ningeisafisha kabisa Kyiv wacha dunia inite dictator sawa tu
Ina maana bila drone za Iran Putin asingeipiga Ukraine?Putin alisaidiwa na Iran drones za kutosha tu kuipiga Ukraine, Siku Iran ilipokuwa na shida akaleta za kuleta kuwa ooooh siwezi kuisaidia Iran, unajua asilimia 20 ya waisrael wanaongea kirusi na blahblah nyingine. Sasa ngoja Mabazazi ya NATO yampige kwa staili za kigaidi ndo atajua hajui.
1. Huwezi kupigana vita 2 ukabaki salama.Putin alisaidiwa na Iran drones za kutosha tu kuipiga Ukraine, Siku Iran ilipokuwa na shida akaleta za kuleta kuwa ooooh siwezi kuisaidia Iran, unajua asilimia 20 ya waisrael wanaongea kirusi na blahblah nyingine. Sasa ngoja Mabazazi ya NATO yampige kwa staili za kigaidi ndo atajua hajui.