MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,034 Mar 29, 2016 #3 Sisi tunatumia sindano za ukimwi au sumu inayoua taratibu huyo atakuwa Mganga wa kienyeji
U UKAWA2 JF-Expert Member Apr 22, 2014 2,182 1,970 Mar 29, 2016 #5 Hii nchi kila kitu sasa hivi ni hobela hobela,sasa anayeshughulik na afya yako unajenga naye bifu,akikupig sindano ya maji!!
Hii nchi kila kitu sasa hivi ni hobela hobela,sasa anayeshughulik na afya yako unajenga naye bifu,akikupig sindano ya maji!!
Mfamaji JF-Expert Member Nov 6, 2007 6,630 1,943 Mar 29, 2016 #6 Hivi dokta Mwaka vipi jamani. Nasikiaga matangazo yake clouds. mrejesho tafadhali