Kama Mkuu wa SADC, Magufuli anatakiwa aongee UN mwaka huu

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,749
Magu akiwa kama mwenyekiti wa SADC anatakiwa atoe speech mwaka huu pale UN New York sio tu kama Mwenyekiti wa SADC bali kama Rais wa Tanzania.

Vilevile angeweza kukutana na wawekezaji hasa wa kilimo, balozi angeweza kumkutanisha na kampuni za kilimo kubwa na kampuni za wekezaji kama katapila.

Haya ni mawazo tu aongee lugha yoyote ambayo anapenda. Lakini kuita waandishi wa habari TZ local na kuongelea Zimbabwe mfano haita sikika kama UN
 
Kwa kweli ni vyema akahudhuria, ni fursa kwa taifa letu atapata atn kubwa ya media.
 
Magu akiwa kama mwenyekiti wa SADC anatakiwa atoe speech mwaka huu pale UN New York sio tu kama Mwenyekiti wa SADC bali kama Rais wa Tanzania.

Vilevile angeweza kukutana na wawekezaji hasa wa kilimo, balozi angeweza kumkutanisha na kampuni za kilimo kubwa na kampuni za wekezaji kama katapila.

Haya ni mawazo tu aongee lugha yoyote ambayo anapenda. Lakini kuita waandishi wa habari TZ local na kuongelea Zimbabwe mfano haita sikika kama UN
Okei atashauriwa aongee Kisukuma.
 
Back
Top Bottom