The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,343
- 11,837
Imagination za watoto zinatisha na kuchekesha sana walah🤣🤣
Maisha yao ni mazuri sana wala hakuna stressUzuri wa watoto hawaogopi kukosea, wanajiamini katika majibu yao hata kama wamekosea.
Utamuulia moja jumla moja ni ngapi atakutajia 5 na wala hashtuki
Hajaanza skuli, ila ukimuuliza unasoma la ngapi utamsikia la 5 😁!Uzuri wa watoto hawaogopi kukosea, wanajiamini katika majibu yao hata kama wamekosea.
Utamuulia moja jumla moja ni ngapi atakutajia 5 na wala hashtuki