Kama mbwai mbwai tuu

Kama mbwai mbwai tuu

NancyM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
314
Reaction score
40
Duniani kuna watu wa ajabu yani huwezi amini leo kanisan nimekaa na jamaa 1 anavuta sigara kanisani bila woga! nilitetemeka nusura niangushe konyagi yangu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahaha, kweli nimecheka ila nikazidi pata confidence na signature yangu hapo chini kuwa iko sahihi
 
we mwoga sana hapo fegi tu umedodondosha nyagi ingekuwa ndumu ingedondosha nini
 
Back
Top Bottom