Kama Mbowe hana elimu ya degree amewezaje wezaje kugombea uraisi?

Kugombea Uraisi,Ubunge na Udiwani Sifa Zake Ni Tano Tu:
a)uwe raia wa tanzania,
b)uwe na miaka 40+ kwa uraisi,na miaka 21 kwa udiwani na ubunge!
c)uwe na akili timamu
d)ujue kusoma na kuandika kiswahili na kiingeleza
e)usiwe umekutwa na hukumu ya makosa ya jinai au madai yenye kifungo cha zaidi ya miezi sita!
f)uwe mwanachama wa chama cha siasa chenye usajili wa kudumu!
Mengine Mbwembwe!
 
Kugombea Uraisi,Ubunge na Udiwani Sifa Zake Ni Tano Tu:
a)uwe raia wa tanzania,
b)uwe na miaka 40+

Hapo kwenye kigezo cha miaka 40 ni kwenye urais peke yake
 
Nataka majibu yenu wote mnaombeza MHESHIMIWA MBOWE kuwa hana elimu yeyote,sasa najiuliza amewezaje kugombea uraisi miaka ya nyuma ikiwa sheria yetu inataka mgombea uraisi awe mwenye elimu ya degree.Tafadhari naombeni maelezo wale mnasema hana elimu yeyote
bk saba hadi leo huna kipya, tangu mkapa huu ujinga mlitumia ila kila uchaguzi UKAWA WANAPANDISHA NUMBER.
 
Kugombea Uraisi,Ubunge na Udiwani Sifa Zake Ni Tano Tu:
a)uwe raia wa tanzania,
b)uwe na miaka 40+
c)uwe na akili timamu
d)ujue kusoma na kuandika kiswahili na kiingeleza
e)usiwe umekutwa na hukumu ya makosa ya jinai au madai yenye kifungo cha zaidi ya miezi sita!
f)uwe mwanachama wa chama cha siasa chenye usajili wa kudumu!
Mengine Mbwembwe!
Urais kuanzia miaka 40
Udiwani na ubunge kuanzia miaka 21
Rais lazima awe na digrii
Udiwani na ubunge uwe unajua kusoma na kuandika kiingereza au kiswahili suala la digrii kwenye udiwani sio lazima hata darasa la saba ruksa kugombea
 
Mkuu hapo kipengele d naona hakizingatiwi sana,bwana yule kiinglishi hakijui vizuri kama ambavyo kihaya hakijui vizuri
 
Urais kuanzia miaka 40
Udiwani na ubunge kuanzia miaka 21
Rais lazima awe na digrii
Udiwani na ubunge uwe unajua kusoma na kuandika kiingereza au kiswahili suala la digrii kwenye udiwani sio lazima hata darasa la saba ruksa kugombea
Waweza Leta Kifungu cha Katiba,Sheria ya Uchaguzi na ya Vyama vya Siasa Inayoweka Kigezo cha Degree kwa Mgombea wa Uraisi?
 
Back
Top Bottom