lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Kama Makonda anamtuhumu Mbowe anauza dawa za kulevya, mbona hakumtaja Dr. Slaa? Dr. Slaa amefanya kazi na Mh. Mbowe kwa miaka zaidi ya 24.
Swali:
Je Mbowe alifanya biashara ya dawa za kulevya bila kumshirikisha Dr. Slaa? Urafiki wa Makonda kwa Dr. Slaa umeanza mwaka gani mpaka kufikia kumtuhumu Mbowe na kumwacha Dr Slaa?
Tulishajiongeza kitambo, kadanganye wengine sio uje utudanganye sisi watanzania wenye akili. Mh. Paul Makonda kwa wakazi wa Dar es Salaam kiwango chako cha movie ni kidogo sana.
Dr Slaa jitokeze umkemee Makonda. Bado hata kama wewe ni CCM lakini wewe ni mkristu na kazi ya mkristu ni kusema kweli.