Kama mawazo ya Maalim Seif ndiyo hayo, basi Lowassa yupo sahihi anavyomshauri

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,372
image.jpg
Huu ni ushauri mujarabu kabisa ambao Lowasa anampa Maalim Seif Sharif Hamad. Kukaa kimya ni uungwana. Hakuna atakakoenda ambako kutabadilisha matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Zanzibar. Dr Shein ndo Rais
 
Kwa hiyo mkuu Lizaboni unafurahia kilichofanyika Zanzibar...?

Ukiweka ukada na itikadi pembeni, ukatumia akili ....unadhani Seif alichofanyiwa ni sahihi?... vipi ungekuwa wewe
 
View attachment 332678 Huu ni ushauri mujarabu kabisa ambao Lowasa anampa Maalim Seif Sharif Hamad. Kukaa kimya ni uungwana. Hakuna atakakoenda ambako kutabadilisha matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Zanzibar. Dr Shein ndo Rais
Wote hawawazi hicho unachofikiria, wako kimya tunawasubiri wakijaliwa 2020 wawanie upya kama katiba mpya itakuwa imepatikana.
 
View attachment 332678 Huu ni ushauri mujarabu kabisa ambao Lowasa anampa Maalim Seif Sharif Hamad. Kukaa kimya ni uungwana. Hakuna atakakoenda ambako kutabadilisha matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Zanzibar. Dr Shein ndo Rais
Rajab Rutengwe kada wa CCM aliyekuwa RC Amalia njaa vipi kuhusu wewe?

Mwambie chabruma awe makini u RC ni kazi ya kimaskini sana!!!
 
Kwa hiyo mkuu Lizaboni unafurahia kilichofanyika Zanzibar...?

Ukiweka ukada na itikadi pembeni, ukatumia akili ....unadhani Seif alichofanyiwa ni sahihi?... vipi ungekuwa wewe
Seif kajimaliza mwenyewe. Alipaswa kukomaa mpaka hatua ya mwisho. Kakwepa aibu
 
Aibu gani alokwepa na ndie alikuwa mshindi kwenye uchaguzi halali..?. ..

na hata nafsi yako inajua Seif ndo mshindi....sema tu unazuga hapa.....
 
Rajab Rutengwe kada wa CCM aliyekuwa RC Amalia njaa vipi kuhusu wewe?

Mwambie chabruma awe makini u RC ni kazi ya kimaskini sana!!!
Hayo ni ya Rutengwe. Mimi nina kazi zangu ambazo zinanipa riziki ya kutosha
 
Mshindi ni Dr Shein ambaye tayari keshaapishwa
Ninyi mafisi..nlikwishaamua kumrudisha shein madarakani kwa nguvu ya dola...kwa hivo Seif hakuwa na sababu ya kupoteza muda kuingia kwenye uchaguzi ambao matokeo yake yalikwisha pangwa Dodoma....ni upuuzi tu munafanya......

Kwa hiyo CUF kususia uchaguzi sio kujimaliza...Bali likuwa ni namna nzuri ya kutokubaliana na uzandiki wa Jecha na Mafisi wenzako....
 
Kwa hiyo mkuu Lizaboni unafurahia kilichofanyika Zanzibar...?

Ukiweka ukada na itikadi pembeni, ukatumia akili ....unadhani Seif alichofanyiwa ni sahihi?... vipi ungekuwa wewe
Seif kafanyiwa nini?..achana naye bingwa wa kuzira.
 
Hayo ni ya Rutengwe. Mimi nina kazi zangu ambazo zinanipa riziki ya kutosha
Wenye kazi za maana hawa tabia za wafu kama wewe.....

Wewe ni kipochi cha watu... Kuwa makini dunia imebadilika jifunze kujenga fikra huru za kujitegemea....

Dunia inabadilika sana... Hata roman empire haikutarajiwa ingeanguka.....

Kazi za kutumwa kutukana waliofanikiwa kimaisha hazitokusaidia zaidi
Hayo ni ya Rutengwe. Mimi nina kazi zangu ambazo zinanipa riziki ya kutosha
 
View attachment 332678 Huu ni ushauri mujarabu kabisa ambao Lowasa anampa Maalim Seif Sharif Hamad. Kukaa kimya ni uungwana. Hakuna atakakoenda ambako kutabadilisha matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Zanzibar. Dr Shein ndo Rais
Luwasa kampa makavu ngoja anune...kwa sasa yeye ni kiongozi wa CUF tu na chama chake kimeshindwa uchaguzi hana hata diwani...ni sawa na Hamad Rashid..Wazanzibar wamewaondowa wahuni wakajifunze kwanza.
 
Wenye kazi za maana hawa tabia za wafu kama wewe.....

Wewe ni kipochi cha watu... Kuwa makini dunia imebadilika jifunze kujenga fikra huru za kujitegemea....

Dunia inabadilika sana... Hata roman empire haikutarajiwa ingeanguka.....

Kazi za kutumwa kutukana waliofanikiwa kimaisha hazitokusaidia zaidi
Uko sahihi mkuu,ila kwa Tanzania hao kina Seif,Luwasa...ni wasanii...hadi upinzani utakapopata wanasiasa wa kweli sio hawa mawakala waliopo sasa...bado tupo kwenye "mpito"
 
Dunia inabadilika sana.... Wakati huwezi shindana nao.... Akina Kaunda waliangushwa na upinzani japo walikua waasisi.... Kamuzu Banda aliangushwa ktk mizani huru... Walisoma Nyakati na mazingira.... Wakaheshimu......

Ndio maana namshauri kijana ajichunge ... Zaidi sana ajifunze kuishi kwa fikra huru!!! Hao kina Lowassa ni wazee.... Wanamalizia maisha... Sisi bado vijana wenye fursa yakuona mengi yajayo... Kuishi kama kipochi cha kwapani ni aibu .....
 
Back
Top Bottom