Kama mapenzi ndio haya.....

Yupo mwingine katongozwa leo keshoyake anataka laki 1 na nusu!!
 
Hahahahaha ha ha ha nimependa alivyomsevu hapo DARLING

Kwahiyo JF umeingiaje mkuu........hahaha
 
Mgharamie bana si mpenzio,sasa shida iko wapi? Yani nyie dudu mnataka kuwang'arisha hamtaki basi anza mbele waache wanoweza kulea ati!
 
35908_3857723411515_1531273535_33302132_514922534_n.jpg
 
mpaka anapokuwa na shida ndiyo anakuita honey......anadaiwa laki moja????.....ha ha haaaaaaaaaaa.....halafu ukifikira hata mzazi wako hujawahi mpatia pesa km hiyo hata siku 1
 
Back
Top Bottom