Kama mapenzi ndio haya.....

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Kama mapenzi ndio hivi basi tena.
gharama ya simu tu hata elf10 haifiki
bado unapiga kibomu kikubwa hivo duh.

Ana wiki haja ku kubip wala kuku sms mara
unashangaaaa.........

549272_417528031605801_100000458247607_1365801_1560086686_n.jpg


.............Basi tena.
 
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo km ulimzoesha vocha,out na kujisifia kuwa unazo acha aku suprize kidogo.
 
duuh! yaonekana umemzoesha huyo baby vibaya.sasa hny Speaker hiyo laki 1 unatoa wapi au na hiyo simu utauza?
 
Last edited by a moderator:
Mkiombwa pesa mnakuja lalamika....si mlijidai nyie wanaume kuwapeleka out kabla hawajawa wake zenu.
 
Naanza na wewe. . .
Speaker darling, yani nna hali mbaya kweli leo. Naomba unisadie sh. 50 000 mpenzi wangu. Nakupenda sana. Mwuahhhh!

Haha Lizzy kama kuna watu wagumu kuitikia wito kama
wako basi mimi naongoza.
 
Last edited by a moderator:
duuh! yaonekana umemzoesha huyo baby vibaya.sasa hny Speaker hiyo laki 1 unatoa wapi au na hiyo simu utauza?

Haha, vanilla hiyo simu haitapata mteja maana ni expensive sana.
Toleo la kwanza kabisa,saivi hazipatikani kirahisi na ni
original sio mchina huyo.
 
Last edited by a moderator:
dah nkipata hyo msg nafuta na namba yake kabixa tusijuane.!!! Hawakawii kukufanya mdingi wake...
 
Hahahahaha....
Hii ni sababu kuwa katika mapenzi siku hizi ni mtihani mgumu sana...
Watu wanaona ni bora kwenda "kubuy" tu....
Sababu hapo, ni unapigwa mizinga na mizinguo kibao!!
 
Back
Top Bottom