Kama mapato yalivuka malengo kwanini bajeti za wizara hazikuvuka 50% ya bajeti? Hela zilienda wapi? Au uwongo wa TRA

mambo ya uchumi wa nchi wanayapeleka kisiasa za propaganda CCM bana...tutafika??
 
Swali fikirishi sanaa aiseeee
IMG-20180601-WA0014.jpg
 
Habari!

Mwenye ufahamu tu anijuze kama tra ilivuka malengo ya ukusanyaji nini kimeisibu serikali hii kwa kutotoa fedha kwa wizara zote kutovuka malengo ya bajeti zake ili hali kama deni la taifa linapaa kwa matrilioni na hatulipi madeni bali tunalipa interest.

Je yale makusanyo ni kweli au kanyaboya?
Matumizi Bila Kufuata Bajeti ya Bunge
 
Bajeti ya serikali haitegemei makusanyo ya TRA peke yake. Utakuta makusanyo ya TRA kwa mwaka ni trillion 13 lakini bajeti ya mwaka ni trillion 35. Kuna source zingine za kuwezesha utekelezaji wa bajeti ya serikali na si makusanyo ya TRA pekee. Source zingine ni pamoja na misaada na mikopo toka jumuiya za kimataifa ambazo chadema wamekuwa wakizishawishi na wakiziomba zitunyime hiyo misaada na mikopo. Na kweli nyingi ya nchi hisani na baadhi ya jumuiya za kimataifa zimekuwa zikifanya hivyo kama zilivyoombwa na upinzani.

Chadema wamekuwa wakifurahi sana tunapowekewa hivyo vikwazo vya kiuchumi. Hivyo sababu kubwa ya serikali kutekeleza bajeti ya maendeleo kwa asilimia 20% hadi 50% kwenye baadhi ya wizara ni chadema. Inashangaza chadema inapolalamika kwa nini serikali inatekeleza 50% tu ya bajeti yake wakati ni wao wamezitaka jumuiya za kimataifa zituwekee vikwazo vya kiuchumi. Tunafurahi angalao jitihada za makusanyo ya TRA zimewezesha utekelezaji wa asilimia 100% ya bajeti ya matumizi ya kawaida (PE + OC) ya serikali pamoja na ulipaji wa deni la taifa kama ilivyopangwa. Chadema wangefurahi sana kuona kuwa serikali inashindwa kulipa hata mishahara ya watumishi wake na kushindwa kuajiri wengine. Kweli chadema ni kirusi cha taifa!
 
Mleta mada, kuna ukweli mwingine katika maisha haupaswi kusema.

Wakati wa njaa kali ni bora uinjike sufuria utokose mawe kuliko kuwaambia watoto wakalale hakuna chakula!

Wewe vipi, Kusoma hujui hata picha huoni?
 
Back
Top Bottom