William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,376
Hapa ndipo panapokuwa pagumu discussing anything with you, pray tell, where and how have I been inconsistent? Au bado kivuli chako kinakutoa jasho?
Nafikiri hakuna asiye na akili hapa wa kutokujua anayetolewa jasho na kivuli chake ni nani! kati yangu na wewe mkuuuuuu sana na mtu mwenye akili nyingi sana, ninachokuambia ni kuwa Mbowe kufkia form six sio death sentence, na si kweli kuwa wa-Tanzania wote waliofikia form six wakashindwa kuendelea ni wapumbavu, kwa sababu wewe ulipokuwa BOT na form six yako hukuwa mpumbavu, unless unataka kusema kuwa ulikuwa?
Again, you're totally missing the point!
Huo mfano unaoung'ang'ania wa form 6 na Casino is skewed and misplaced at best, if anything with a background such as his alitakiwa awe na chain ya hotels and restaurants all over africa but then that would perhaps have required MBA type strategic planning. He's done good but he could've done better and he knows it.
Mkuu Mbowe kule Moshi ana hotel ambayo sio Casino lakini ni kubwa na safi sana, kwa hiyo kama ni chain anayo tayari je wewe uliyesama kuliko yeye unazo ngapi bro? He could have done better kuliko alivyo sasa kwa standard ya nani?
Yeye mwenyewe, being the savvy businessman that he is(I know, I know I'm being overly generous here) ameona umuhimu wa kuongeza elimu at this point. Kifupi ni kwamba kaona anakoelekea anahitaji zaidi ya form 6, unless uniambie vinginevyo.
Haya unayosema hapa sio hasa hoja yako, ningekuelewa ungesema kuwa Lipumba amekuwa rais kwa sababu ni professor, Seif amekuwa rais kwa sababu ana degreee, Chenge ameliongoza vizuri taifa letu kwa sababu ana degree ya sheria, lakini huna mfano zaidi tu ya matusi na chuki za binafsi, hivi huoni aibu mkuu? Hoja huna ila una chuki tu za binafsi ambazo hazimzuii mtu kulala, wa-Tanzania waliomalzia from six sio wapumbavu, Mbowe is doing just fine kama akitaka kusoma ni hiari yake asipotaka ni hiari yake, lakini hakuna wa kumlazimisha kwa sababu hajavunja sheria yoyote ya nchi kwa kuwa form six, tafadhali mkuu acha ujinga maana unaoufanya sasa ni utoto! Halafu ninaomba tena nikuonye kua tumia lugha za kistaarabu kwa sababu hizo unazotaka nitakupa na hutaziweza!