Kama Mama Malecela hafai, je Mbowe anafaa?

Hapa ndipo panapokuwa pagumu discussing anything with you, pray tell, where and how have I been inconsistent? Au bado kivuli chako kinakutoa jasho?

Nafikiri hakuna asiye na akili hapa wa kutokujua anayetolewa jasho na kivuli chake ni nani! kati yangu na wewe mkuuuuuu sana na mtu mwenye akili nyingi sana, ninachokuambia ni kuwa Mbowe kufkia form six sio death sentence, na si kweli kuwa wa-Tanzania wote waliofikia form six wakashindwa kuendelea ni wapumbavu, kwa sababu wewe ulipokuwa BOT na form six yako hukuwa mpumbavu, unless unataka kusema kuwa ulikuwa?

Again, you're totally missing the point!

Huo mfano unaoung'ang'ania wa form 6 na Casino is skewed and misplaced at best, if anything with a background such as his alitakiwa awe na chain ya hotels and restaurants all over africa but then that would perhaps have required MBA type strategic planning. He's done good but he could've done better and he knows it.

Mkuu Mbowe kule Moshi ana hotel ambayo sio Casino lakini ni kubwa na safi sana, kwa hiyo kama ni chain anayo tayari je wewe uliyesama kuliko yeye unazo ngapi bro? He could have done better kuliko alivyo sasa kwa standard ya nani?

Yeye mwenyewe, being the savvy businessman that he is(I know, I know I'm being overly generous here) ameona umuhimu wa kuongeza elimu at this point. Kifupi ni kwamba kaona anakoelekea anahitaji zaidi ya form 6, unless uniambie vinginevyo.

Haya unayosema hapa sio hasa hoja yako, ningekuelewa ungesema kuwa Lipumba amekuwa rais kwa sababu ni professor, Seif amekuwa rais kwa sababu ana degreee, Chenge ameliongoza vizuri taifa letu kwa sababu ana degree ya sheria, lakini huna mfano zaidi tu ya matusi na chuki za binafsi, hivi huoni aibu mkuu? Hoja huna ila una chuki tu za binafsi ambazo hazimzuii mtu kulala, wa-Tanzania waliomalzia from six sio wapumbavu, Mbowe is doing just fine kama akitaka kusoma ni hiari yake asipotaka ni hiari yake, lakini hakuna wa kumlazimisha kwa sababu hajavunja sheria yoyote ya nchi kwa kuwa form six, tafadhali mkuu acha ujinga maana unaoufanya sasa ni utoto! Halafu ninaomba tena nikuonye kua tumia lugha za kistaarabu kwa sababu hizo unazotaka nitakupa na hutaziweza!
 
Unajua fika hakuchaguliwa aliyeishia form 6 au mwenye diploma tu, for that matter.

Aliyechaguliwa ni Kikwete, sio Professor MWandosya hilo tunajua sana mkuu na matokeo ya maendeleo makubwa sana tunayaona, au?
 
Mtu anapochukia elimu huwa kwa kawaida anakuwa either naye hana elimu au anashaka na elimu yake au hajui kabisa umuhimu wa elimu. These are just facts, sikuzitunga.

Kujifanya una elimu wakati huna ni ujuha ni afadhali kutkouwa na elimu kama Mbowe na ukakubali, lakini kujifanya unayo wakati huna ni aibu kwa mtu mzima!
 
Acheni kuzungusha maneno, shule ni muhimu tena sana. Huyo mheshimiwa mhimizeni amalize hiyo degree yake vinginevyo itakuwa ngumu kwake kisiasa tunapoenda huko mbele.

Haya maneno yangekuwa ya kweli basi Lipumba angekuwa rais tayari, ni maneno ya choooni tu hayana nafasi kwenye siasa zetu na taifa letu kwa ujumla, Professor MWandosya angeshakuwa rais tayari kama unayosema ni kweli! acha kuzungusha maneno bro!

Hatutampima kwa kufanikiwa kuendesha hizo biashara zinazotajwa hapa. Kama ni mafanikio kibiashara kwa nini tusimpe urais Mengi?
Mwenzake Mbatia tupo naye hapa Uholanzi na mambo yake yanakwenda vizuri. Naona huyu kijana Mbatia kwa kweli anajipanga vizuri kishule, tena hana papara kabisa.

Tanzania hatujawahi kuchagua rais kwa elimu, wala biashara kwa hiyo hii hoja ni mufilisi, Mbatia ana elimu tayari kwenye uchaguzi uliopita alipata urais wa wapi wakuu? Mbatia si ndiye aliyekuwa kiongozi wa migomo Mlimani au? Sasa mbona hajapata urais bado? Ni lini Mengi aliwahi kugombea urais? Unafikiri kwa nini CCM hawataki independent candidate? Wewe unajua behind hiyo ishu ni kuna mkono wa nani?

Elimu haijawahi kuwa kigezo cha kumachagua rais bongo, wakuu msistutishe sana na hoja hewa na msiajribu kutumia nguvu za hoja!
 
hongera sana kwa kuwatolea watu humu uvivu maana wengine wabishi kama....!!

Bwana Kada kama una tatizo na mimi au hoja yangu basi niruhie mwenyewe tu mawe na mimi nitakujibu sina uoga na yoyote hapa lakini sitishiki na maneno matupu au hoja hewa, kama wewe una problemn na mimi na hoja zangu weka zako nitakujibu au anything siogopi mtu hapa hata siku moja huna haja ya kupandia mwingine wewe weka nikuweke!

Watu wazima hatutishiani nyau hata siku moja!
 
Iwapo CHADEMA watamsimamisha tena Mbowe mwaka 2010 basi ujue chama kimeoza kabla ya kukomaa!
 
Bwana Kada kama una tatizo na mimi au hoja yangu basi niruhie mwenyewe tu mawe na mimi nitakujibu sina uoga na yoyote hapa lakini sitishiki na maneno matupu au hoja hewa, kama wewe una problemn na mimi na hoja zangu weka zako nitakujibu au anything siogopi mtu hapa hata siku moja huna haja ya kupandia mwingine wewe weka nikuweke!

Watu wazima hatutishiani nyau hata siku moja!

Sema ES !

Nadhani utakuwa unanijua kwamba mie ndio kada na si mwingine, kwa kifupi sikumaanisha wewe, na sikuwa nafikiria kukutaja wewe kama mbishi bali kuna watu wawili watatu hivi sitaki kuwataja majina. Nadhani inafahamika wazi kwamba hakuna anayeogopwa humu na NAOMBA IELEWEKE HAKUNA ANAYEMTISHA MTU MWINGINE HUMU NDANI, na saa nyingine mzee ES naona huwa unajitisha wewe mwenyewe na maneno yako !

Mimi sina matatizo na wewe wala na hoja zako, kamwe sitokuwa na matatizo na member, lakini kama naona kitu kipo "wrong" basi mtu yeyote humu ndani ya forum apende asipende i will go after that hoja !

Naomba uelewe ES, mie sio muoga wa kumtaja mtu yeyote kwa jina humu ndani, nina heshimu kila mtu isipokuwa tu saa nyingine hoja huwa zinakuwa tofauti, sitaki hizi personal beefs za kipumbavu za kwenye mitandao ambazo hazina manufaa yoyote, na hivyo kama ningekuwa nakuongelea wewe mzee mwenyewe ES basi ningekutaja maana huwa siogopi kumtaja mtu yoyote yule humu ! Sijioni kama mimi ni kiboko bali huo ndo ukweli, hakuna aliye juu ya wengine humu, wote tupo sawa, wote tuheshimiane sawa, HAKUNA MWENYE HESHIMA ZAIDI YA MWENZAKE isipokuwa kwa wale wenye tabia za kijinga tu !

Forum nzima naomba tuelewane kwamba hakuna anayetishwa humu kwenye mtandao, na mkisikia mtu anasema sijui unamtisha, just ignore him/her.... wote tupo sawa, hakuna aliye juu ya mwingine !!

Again ES, nilikuwa sikuongelei wewe ! Nadhani utakuwa umenielewa ! Lakini ni lazima uelewe kwamba neno "kutishika" umelitumia sana tena kupita kiasi humu ndani ya forum na hakuna sehemu yoyote ile ambayo kweli inaonyesha umetishwa ! So thats unacceptable ! Asante !
 
Haya maneno yangekuwa ya kweli basi Lipumba angekuwa rais tayari, ni maneno ya choooni tu hayana nafasi kwenye siasa zetu na taifa letu kwa ujumla, Professor MWandosya angeshakuwa rais tayari kama unayosema ni kweli! acha kuzungusha maneno bro!

Naomba nikupinge ! Alichosema huyo "mama" sio maneno ya chooni, bali ni ukweli ! ukweli kivipi ? tupo hapa tunazungushana on one main point kwamba elimu ni muhimu au la ! thats the ishu, na ni kweli kwamba tunazungushana ! but also on the other hand, ni kwamba i love it maana tunaweza kumexpose the guy (Mbowe)!

Kuwa na elimu ni jambo zuri sana maishani tena itakuwa vizuri zaidi kama hiyo elimu yako itaweza kuchangia katika fani yako au kitu ambacho unapenda kufanya ! Ni kweli lipumba amesoma, na hajawa rais hadi sasa, lakini je aliitumia vipi hiyo elimu yake katika kugombea urais ? alifanya alichotakiwa kufanya ? NO.... hakutumia muda wake kuwaeleza wananchi who the himself is na instead akaanza kuendelea na sera za chama chake, huku wengi wa watz hawakuweza kumjua vizuri !

Kama utashindwa kutumia elimu yako katika jambo unalolipenda (in this case SIASA) basi kwa kifupi nakushauri USIINGIE KWENYE SIASA AU KWENYE FANI YOYOTE ILE ! Kuwa na elimu na kutoweza kuitumia vizuri sio kigezo cha kusema elimu sio muhimu !!!
 
Kama utashindwa kutumia elimu yako katika jambo unalolipenda (in this case SIASA) basi kwa kifupi nakushauri USIINGIE KWENYE SIASA AU KWENYE FANI YOYOTE ILE ! Kuwa na elimu na kutoweza kuitumia vizuri sio kigezo cha kusema elimu sio muhimu !!![/B
]

Kwa kutumia elimu tu ya form six Mbowe, ameweza kufanya wonders, kama kuwa one of the best politician of our time, na pia kuwa mfanya biashara ambaye ni very successful kwa taifa letu lenye wananchi karibu millioni 35,

Katika siasa Mbowe hajaiba, hajadhulumu, hajafanya ufisadi, as opposed na viongozi waliosoma kama Lowasssa, Mkapa, Msabaha, Karamagi, Chenge,

Mnasema maneno mengi sana kuhusu elimu ya Mbowe, lakini mnashindwa kihoja kwa sababu mnatakiwa mtueleze mazuri ya viongozi wetu waliosoma na madhara ya viongozi wetu kama Mbowe mwenye form six, hapo ndipo mnapohangaika na kujaribu kutumia hoja za nguvu,

Mimi ninachojua ni kimoja tu kuwa kuna lijitu hapa linajidai lina elimu sana na kutukana wengine kuwa hawana elimu, lakini cha maana lilichofanya na elimu yake ni kujaribu kumtongoza mama mwenye umri kama kupita hata wa mama yake mzazi eti ndiyo elimu hiyo mnayowatukania wengine
?
 
Nafikiri hakuna asiye na akili hapa wa kutokujua anayetolewa jasho na kivuli chake ni nani! kati yangu na wewe mkuuuuuu sana na mtu mwenye akili nyingi sana, ninachokuambia ni kuwa Mbowe kufkia form six sio death sentence, na si kweli kuwa wa-Tanzania wote waliofikia form six wakashindwa kuendelea ni wapumbavu, kwa sababu wewe ulipokuwa BOT na form six yako hukuwa mpumbavu, unless unataka kusema kuwa ulikuwa?

Once again you are totally out to lunch, let me help you out, if you will, I hate to disappoint you, I've never worked at BOT, that's one, two don't put words in my mouth, I dare you to quote me saying what you claim I said. Another thing, be man enough to counter facts with facts, arguments with arguments, stop your cries of "I know you , I know you", 'cause you don't have a clue who I am, where I am or what I do, so get a grip!

Mkuu Mbowe kule Moshi ana hotel ambayo sio Casino lakini ni kubwa na safi sana, kwa hiyo kama ni chain anayo tayari je wewe uliyesama kuliko yeye unazo ngapi bro? He could have done better kuliko alivyo sasa kwa standard ya nani?

If you don't think there is always room for improvement and for doing even better then you just might be beyond help!

Haya unayosema hapa sio hasa hoja yako, ningekuelewa ungesema kuwa Lipumba amekuwa rais kwa sababu ni professor, Seif amekuwa rais kwa sababu ana degreee, Chenge ameliongoza vizuri taifa letu kwa sababu ana degree ya sheria, lakini huna mfano zaidi tu ya matusi na chuki za binafsi, hivi huoni aibu mkuu? Hoja huna ila una chuki tu za binafsi ambazo hazimzuii mtu kulala, wa-Tanzania waliomalzia from six sio wapumbavu, Mbowe is doing just fine kama akitaka kusoma ni hiari yake asipotaka ni hiari yake, lakini hakuna wa kumlazimisha kwa sababu hajavunja sheria yoyote ya nchi kwa kuwa form six, tafadhali mkuu acha ujinga maana unaoufanya sasa ni utoto! Halafu ninaomba tena nikuonye kua tumia lugha za kistaarabu kwa sababu hizo unazotaka nitakupa na hutaziweza!

Yaani mbona unaniletea majungu, wapi nimetoa matusi? Nimchukie Mbowe kwa lipi? Wewe vipi wewe! Kama huna hoja it's ok usitungetunge tu vitu ili mradi uandike tu. Unaleta habari za Chenge, ushaambiwa mara ngapi elimu na tabia vitu viwili tofauti, mbona Mwalimu JKN alikuwa na shahada ya uzamili na hakuwa fisadi? Usichanganye elimu na tabia, you should know that!

Mbowe mwenyewe ameona anahitaji elimu ya zaidi ya form six yake, anajua itamfaa huko aendako sasa do you have a problem with that?
 
]

Tanzania hatujawahi kuchagua rais kwa elimu, wala biashara kwa hiyo hii hoja ni mufilisi, Mbatia ana elimu tayari kwenye uchaguzi uliopita alipata urais wa wapi wakuu? Mbatia si ndiye aliyekuwa kiongozi wa migomo Mlimani au? Sasa mbona hajapata urais bado?

Elimu haijawahi kuwa kigezo cha kumachagua rais bongo, wakuu msistutishe sana na hoja hewa na msiajribu kutumia nguvu za hoja!

Factual correction ya "dataz": James Mbatia alifukuzwa wakati ule wa mgomo hakumaliza shule, yes nilikuwa pale FoE (Faculty of Engineering for the uninitiated) wakati huo sikuwa BOT kama unavyotaka kujidanganya na kuudanganya umma, still think you know me?!

Wengine tunapenda kutumia "nguvu ya hoja" as opposed to "hoja ya nguvu"!
 
]

Kwa kutumia elimu tu ya form six Mbowe, ameweza kufanya wonders, kama kuwa one of the best politician of our time, na pia kuwa mfanya biashara ambaye ni very successful kwa taifa letu lenye wananchi karibu millioni 35,

Katika siasa Mbowe hajaiba, hajadhulumu, hajafanya ufisadi, as opposed na viongozi waliosoma kama Lowasssa, Mkapa, Msabaha, Karamagi, Chenge,

Mnasema maneno mengi sana kuhusu elimu ya Mbowe, lakini mnashindwa kihoja kwa sababu mnatakiwa mtueleze mazuri ya viongozi wetu waliosoma na madhara ya viongozi wetu kama Mbowe mwenye form six, hapo ndipo mnapohangaika na kujaribu kutumia hoja za nguvu,

Mimi ninachojua ni kimoja tu kuwa kuna lijitu hapa linajidai lina elimu sana na kutukana wengine kuwa hawana elimu, lakini cha maana lilichofanya na elimu yake ni kujaribu kumtongoza mama mwenye umri kama kupita hata wa mama yake mzazi eti ndiyo elimu hiyo mnayowatukania wengine
?

Maneno mekundu - Sina uhakika na unachosema, lakini naweza kusema kwamba hayo ni maoni yako na sio facts ! kwa hiyo nakushukuru kwa kutoa maoni yako ! Kama unafikiri mbowe ameweza kuwa one of the best politicians in "YOUR" lifetime, sawa..lakini unashindwa kulink huo ubest wake na siasa, bali unalink na hizo biashara zake! ambazo nyingi amefail lakini huwezi kukubali !

Maneno ya blue - Huyo ni mtu na sio lijitu, na hata kama anajifanya ana elimu tatizo liko wapi mzee as long as he is doing him ? nafikiri utakuwa unamuongelea kubwajinga, and the guy ni kwamba anaongea facts ila sijui wewe na yeye mna tofauti gani ! Yeye kumtongoza mwanamke aliyemzidi umri ni suala binafsi na katika maoni yangu sidhani kama hilo ni kosa, je inakuwaje kwa wale wanaotongoza watoto wadogo ambao wanafaa pia kuwa watoto zao ??

Maneno ya kijani - una uhakika na unachokisema ??

Zaidi ya yote, kama unaona mbowe anaweza kufanya lolote na hiyo elimu yake ya form 6 iweje yeye mwenyewe achukue uamuzi wa kwenda shule na kuongeza elimu ?? hapa tutarudi kule kule kwamba elimu ni muhimu, spin it however you want, lakini elimu ni muhimu and mbowe knows that much !
 
Kafara mkuu acha spin,

Unajua fika hakuchaguliwa aliyeishia form 6 au mwenye diploma tu, for that matter.

duh! miye nilidhani aulizaye ataka kujua kumbe ni
mzungurusho!

mi nilidhani anayefanya mzungurusho ni yule anayetaka
kusema katiba inakataza raia wa tanzania kugombea
uraisi kama sio "msomi".

ama! mi nilidhani hoja inayojengwa ni kwamba yule aliyesoma zaidi
ndo anastahili zaidi "kupewa" urais hivyo kama weye kidato cha sita
basi yule mwenye digrii ndo anaupeo zaidi zaidi wa kuchanganua mambo
zaidi yako. kwa mantiki hiyo hiyo kama weye una digrii ya kwanza na
mwenzako ana shahada ya udaktari basi inabidi yule mwenye udaktari
agombee kwa vile yeye ana upeo zaidi wa kuchanganua masuala. kwani
suala la ni usomi ati. ndio maana mimi nikauliza swali na sikuwa nafanya mzungusho aslani.

mi nadhani suala muhimu ni kwamba ni vyema mtu kujitahidi kuongeza
elimu yake kwa manufaa yake na jamii lakini maadhali katiba haisemi
mtu mwenye kidato cha sita haruhusiwi kugombea urais basi
tumuache yule anayeamini anauwezo wa kutuongoza afanye
agombee huo urais kwa kupitia njia zinazokubalika kikatiba na wananchi
tutaamua wenyewe kwa kutumia vigezo tunavyodhani vinafaa.
sasa kama mtu anaona darasa ni kigezo muhimu kuliko vitu vingine
asitoe kura yake kwa mtu asiye na darasa analolimind na kama
mtu anaona vigezo vingine ni muhimu kuliko hilo darasa naye
atumie utashi wake na achangue mtu anayemuona anafaa.

na haya ni maoni na wala sio mzungusho.
 
Haya wakuu great debate, ninawashukuru wote waliohusika na kuchangia hii topic, sasa ni zamu ya wananchi kuamua, mchele na pumba ziko wapi kwenye hilo JF ninawaaminia sana, mkuu Kada respect, na wengine wote,

Mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Freeman Mbowe ninamtakia mafanikio mema na shughuli zake za kila siku kuanzia za binafsi mpaka za taifa, na ninarudia tena kumpa hsehima nzito kwa kazi kubwa aliyokwisha kulifanyia taifa letu mpaka sasa, mengine huwa tunalipwa na Mungu tu!

Tukutane tena next topic! Haya wakuu kukata ishus taifa liko njia panda!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibitisha kuwa alikikopesha chama chake sh. milioni 500 kwa ajili ya kampeni na pia amekuwa akikikopesha chama hicho mara kwa mara mahitaji yakijitokeza. Huyu ndio Mbowe anayedaiwa na taifa la Tanzania na ameshindwa kulipa deni hilo kwa taifa kwa madai ya kushindwa kufanya hivyo! kwa hili Mbowe amedhihirisha kuwa kwake yeye chama na maslahi yake binafsi ni muhimu kuliko maslahi ya taifa.

Mbowe hafai kuongoza nchi yetu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom