Kama mama / baba utachukua hatua gani??

kwani huyo binti alirepiwa?! jamani weee mtu wa miaka 19 ni mtu mzima na anatakiwa awe responsible na maamuzi anayochukua.

hao wazee wa bnti sijui walikuwa wanafikiri nini kufanya hayo waliyofanya.
 
Miaka yetu ya 1960-70 umri huo tulikuwa bado kabisa kujua hii maswala ya kubanjuana :A S 39:
Ubarikiwe baba Askofu
acha kutuzuga wakati kipindi hicho watoto walikuwa wanaolewa miaka 15 au 16 na shulwe ilikuwa sio wote wanaosoma kwa hiyo ilikuwa ukivunja ungo unaolewa miaka hii ndio watu wanachelewa kubanjuana kwa taarifa yako
 
hiyo familia imefanya kosa kuja kumbwaga binti yao bila kuongea na wazazi wenzao kwanza...sasa wakiamua kumfanya house gal itakuwa imekula kwa nani?
halafu wanashangaza sana kipindi chote cha miezi 9 ya ujauzito walikuwa wapi mpaka wamlete mtoto na kumbwaga hapo nyumbani.

kama ingekuwa wamefanya kwangu ningewaitia difenda na kuwasweka ndani wote maana kumleta mtoto anayenyonya ni sawa na kumtupa jalalani tu ningehakikisha nawafungulia mashtaka nione kesi itaisha vp ili iwe funzo kwa wengine
 
ntyapokea mtoto, ntapima dna akiwa wetu ntatunza... maana tayari hao waliokuja kubwaga mtoto wameonyesha ni vichwa maji na nisingependa mjukuu wangu alelewe na vinyamkera

kijana wangu ntamalizana naye kama mzazi
 
Mbona hii kesi ni ya chekechea !!!!!!!. Huyo ndugu yako mwambie aende serikali ya mtaa na ustawi wa jamii akatoe taarifa,kisha kwa upendo mkubwa awapeleke hao watoto wote watatu kupima dna. Akitoka huko kama majibu yanaonyesha mtoto ni wao, azungumze na kijana wake ili kijana atulie na aendelee na shule,la pili atakalofanya kama mtoto ni wao ni kukaa na binti mzazi ili wazungumze namna ambavyo atajiendeleza/ataendelezwa ili afikie viwango. Pressure zikishuka,watafute wazee wenye hekima wawakutanishe na mambo yataisha. Wasijaribu kujibu mapigo kwa kubwatuka,wao watulie kimya.

Malumbano na waliomletea kichanga hayafai, kama mtoto atagundulika si wao, suala ni jepesi,ni kwenda serikali ya mtaa ili wao wamrudishe binti kwa wazazi wake. Rafiki yako asithubutu kumrudisha kwa sababu atasababisha zogo la kufa mtu.
 
Tatizo kijana ameitwa amehojiwa sana anadai yeye hajawahi kuwa na uhusiano wowote na Binti..wakati Binti analia anadai ni mimba ya kijana..
kweli ujana mmh..........................

Huyo kijana asituzingue yaani binti apite nyumba zote aje kumsingizie yeye? Hapo wazazi walee mimba mtoto akizaliwa apimwe DNA kama wao uangaliwe ustaarabu wa kumtunza mtoto.
 
21yrs na 19yrs unawaita watoto? uh!!

Si ndio hapo hata mimi nimeshangaa. Halafu eti mmoja wao kapelekwa na kuachwa kwa wazazi wa huyo mwenzake? Huyo kweli atakuwa zoba huyo...hamna kitu hapo.

Kwa mtizamo wangu mimi miaka 19 na 21 ni watu wazima (young adults). Sasa unapompeleka huyo mmoja wao kwa wazazi wa mwenzake na kumbwaga...ina maana na yeye anakufuata tu? Hana usemi wowote?

Mimi sikuwa hivyo nilivyokuwa na umri huo. Nilikuwa sikubali kupelekeshwa kihivyo na mtu yoyote yule hasa kwenye mashauri yaliyokuwa yananihusu moja kwa moja.
 
Kitanzania 19 ni umri form5au6 na bado mtu unakuwa tegemezi

Really this is a challenging situation. Lakini kwa mustakabali wa mtoto hasa wa kike suala inabdi liongelewe kifamilia nawahsuika wote wa pande mbili. Kama mzazi wa upande wa mtoto wa kiume option ya kwanza itakuwa ni kutoa mimba kama iko within miezi inayokubalika.

Lakini ni suala gumu inateegema na uelewa wa wazazi wa upande wa pili wa shilingi. Na kama ndo wamefikia hatua ya kumbwaga inaonyesha aidha ni jazaba za kuchanganyikiwa au ni washari.

Option ya Pili ni kuwaona watu wa ustawi wa jamii na kusikia watatoa mapendekezo gani. Lakini haya yote pia inabidi wazazi wa pande zote wawepo.Watalaama watatoa ushauri nasaa na maamuzi ya kuchukua hope katika ushauri wao kutakuwemo na option ya kwanza.

Option ya tatu ni kutafuta mwanasheria ambaye anaweza kukufafanulia ni nini kisheria unaweza kufanya au kutofanya bila kuingia matatizoni. wala bila kuathiri watoto wote wawili.
 
Really this is a challenging situation. Lakini kwa mustakabali wa mtoto hasa wa kike suala inabdi liongelewe kifamilia nawahsuika wote wa pande mbili. Kama mzazi wa upande wa mtoto wa kiume option ya kwanza itakuwa ni kutoa mimba kama iko within miezi inayokubalika.

Abortion should not be an option for (your) convenience. It is murder. It is just wrong all around.

In a situation like that I think the kids should be made to own up to their responsibilities. If they had unprotected sex and pregnancy resulted from it then they should be accountable for their actions. If that means growing up fast and becoming young parents, then so be it.

Otherwise abortion should be highly discouraged unless the life of the mother is at risk or if it is a case of incest.
 
Nyani Ngabu
I havent considered abortion as an easy option. I also acccept it is wrong but with the situation and factors surrounding the issue i still think this uneasy option should be thought about.

All other option have their risks tooo . Simple risk analysis kwa option zote bado kunanifanya niamini in this case uamuzi mgumu wa abortion inabidi ufikiriwe.
 
This situation does not warrant murdering the unborn. As matter of fact, no situation warrants the murder of a defenseless child. It's just wrong all around no matter how you spin or try to justify it.
 
Back
Top Bottom