Kama Magufuli anakosolewa namna hiyo je, ni kiongozi wa aina ipi angefaa?

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Nafikiri tu!

Hivi ni kiongozi wa aina ipi angefaa kuiongoza nchi hiyo ya wajuaji waliopitiliza namna hiyo!

Kama hapo kabla tulidhani na kutamka bayana kwamba ni kiongozi mwenye hulka za kibabe kama si dikteta ndiye angelitufaa lakini leo JPM tu watu wachache wanathubutu kutumia nguvu kubwa kumpinga ingekuwaje tungempata kama Bokasa!

Ujuaji wetu usiyo na lolote ni kweli tutafika?!
 
Huyu wa kutupigia mashangazi...!!??
Kiongozi anayefaa ni yule..
1. Anayepokea kukosolewa positively NA KAMA ANAKOSOLEWA KWA KUONEWA, BASI AONYESHE AMEONEWA WAPI
2. Anayekubali KUPANGIWA mambo anayoona anahitaji msaada wa wengine
3. Asiyewadharau anaowaona WANAWASHWAWASHWA"
4. Asiyeamini kuwa WENGINE WOTE NI WEZI kasoro yeye tu
5. Asiyependa wananchi wake waishi kama MASHETANI
6. Anayeona na weliomtangulia kuna mambo waliyafanya vizuri
 
Nice
 
Uncle is hopeless. We need a leader who abides by the law - constitution.
 
RAISI ANACHUKIWA MITANDAONI TU KUNA SIKU UTANIELEWA
WATANZANIA WANAKUCHUJIA MITANDAONI TU
Kila kitu kina mwanzo....

Wapo walioanzia kwenye ma-TV, ma-REDIO, ma-GAZETI, na sasa mitandaoni....

JARIBU KUFIKIRI ISHU YA MANGE KIMAMBI KUHAMASISHA WATU MITANDANONI against MATAMKO ya viongozi mbalimbali wa serikali....

Yaani yeye anasema mtandaoni, lakini wao wanajibia platforms mbalimbali..... ILE PEKEE ITOSHE KUKUONYESHA NGUVU YA MITANDAO... otherwise wasingehangaika nakuiwekea msherti kibao
 
Huyu wa kutupigia mashangazi...!!??
Kiongozi anayefaa ni yule..
1. Anayepokea kukosolewa positively NA KAMA ANAKOSOLEWA KWA KUONEWA, BASI AONYESHE AMEONEWA WAPI
2. Anayekubali KUPANGIWA mambo anayoona anahitaji msaada wa wengine
3. Asiyewadharau anaowaona WANAWASHWAWASHWA"
4. Asiyeamini kuwa WENGINE WOTE NI WEZI kasoro yeye tu
5. Asiyependa wananchi wake waishi kama MASHETANI
6. Anayeona na weliomtangulia kuna mambo waliyafanya vizuri
safi sana mkuu
 
JPM angekuwa mkali hivi huku akisimamia katiba,sheria na taratibu, huku akiimarisha uchumi na kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji, hakika angekuwa best president ever. Kwa mfano alipowatoa wenye vyeti feki bila double standard ya bashite, then zile vacancy aka employ more, hapo taasisi binafsi zingestawi na kuajiri zaidi na zaidi hakika tungefika mbali.
Sasa mambo yamekuwa kinyume.
 
Kabisa, kama ingekuwa mwingine...
1. Vyeti feki angechora LINE, kwamba mwisho hapa.... Unapowaondoa wengine na kumuacha mmoja mteule wako, hapo ni double standard
2. Wawekezaji wengi sana wamefunga biashara zao, WA NDANI NA NJE
3. Ameshavunja katiba mara kadhaa... MFANO TU WABUNGE WANAUME WA KUTEULIWA... kuna watu wanadhani, kwa vile mmoja alijiuzuru na kumteua kuwa balozi basi hakuna shida...
 
Rais anayefaa kuiongoza nchi ni yule anayeongoza na kukubali kukosolewa,na siyo yule anayejiona yeye ni yeye tu na wengine wote zaidi ya milioni arobaini anaowaongoza silolote mbele yake.

Wakati uongozi ni utaratibu uliopo kwakuwa palipo na wengi ni lazima awepo kiongozi,na anapochaguliwa haina maana kuwa yeye ni bora au ana akili kuzidi wale anaowaongoza.

Ndio maana mwisho wa uongozi wake unapokoma huwa anachaguliwa mtu mwingine kutoka kwenye jamii ileile iliyomchagua na kukubali kuongozwa naye, kinachotakiwa hapa pamoja na uongozi wake mwenyewe pia anatakiwa kuwasikiliza na kukubali kukosolewa na Wale waliomchagua,na awe na ubabe wenye busara na huyu ndiye watanzania waliyemuhitaji.
 
Naomba nirudi hii comment

Huyu wa kutupigia mashangazi...!!??
Kiongozi anayefaa ni yule..
1. Anayepokea kukosolewa positively NA KAMA ANAKOSOLEWA KWA KUONEWA, BASI AONYESHE AMEONEWA WAPI
2. Anayekubali KUPANGIWA mambo anayoona anahitaji msaada wa wengine
3. Asiyewadharau anaowaona WANAWASHWAWASHWA"
4. Asiyeamini kuwa WENGINE WOTE NI WEZI kasoro yeye tu
5. Asiyependa wananchi wake waishi kama MASHETANI
6. Anayeona na weliomtangulia kuna mambo waliyafanya vizuri
 
Nafikiri tu!

Hivi ni kiongozi wa aina ipi angefaa kuiongoza nchi hiyo ya wajuaji waliopitiliza namna hiyo!

Kama hapo kabla tulidhani na kutamka bayana kwamba ni kiongozi mwenye hulka za kibabe kama si dikteta ndiye angelitufaa lakini leo JPM tu watu wachache wanathubutu kutumia nguvu kubwa kumpinga ingekuwaje tungempata kama Bokasa!

Ujuaji wetu usiyo na lolote ni kweli tutafika?!
Mchunguze ubabe wake Jiwe upo kwa watu gani, dictactor haangaliagi sura ya mjomba shangazi huyu Bibi yeye nchi Kwanza, lkn mchunguze huyo mwenyekiti wako watu gani kwake ndio wahujumu uchumi wezi na wasio raia wa nchi hii utapata majibu....
 
Jamani mi sitaki kukosolewa mbona mnalazimisha kunikosoa wakati mimi sitakii ah. Kamkosoeni mwenyekiti wenu kama mnajua kukosoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom