Nikiyasoma maoni yenu naona kabisa mlio wengi mlikuwa watoro darasani, hata huyo Mwalimu hamjui ni mtu wa namna gani! Taifa hilo halijui uharibifu ambao umefanywa na Mwalimu mpaka sasa,ila kwa kuwa wengi mnaotoa maoni ni vilaza mnaona Mwalimu hajagoma, Mwalimu siyo dereva, na hawezi kufanya mambo yake kama dereva!