Kama madereva wameweza, walimu kinachowashinda ni nini?

Haki isipopatikana kwa njia ya majadiliano, basi kuna namna nyingine ya kudai haki hiyo. Jana na leo tumeshuhudia madereva wakigoma na mgomo wao umefanikiwa kwa 98%.

Swali kwa walimu; Kinachowashinda ni nini? Maana migomo yenu imekua na mafanikio 0% na tunaamini nyie ni wasomi zaidi ya madereva, sasa kulikoni mnafeli kudai haki zenu?

Sio uchochezi huu jamani, ila ninahoji failure ya walimu kudai haki zao!!

Kazi njema!!

Walimu hawaendi tena barabarani wala hawaachi kwenda shule, bali watawafundisha madudu watoto wenu.
 
kwa taarifa yako walimu wapo kwenye mgomo tangu mwaka 2007!! hutaki acha.. au angalia matokeo ya mwanao.
 
Mgomee "sheme.ji" halafu "dada" aachwe ndio utajuwa umuhimu wa "shem.eji"........
Mhh hivi kale kasheria kamtandao kashasainiwa eee...mana mhhh
 
Haki isipopatikana kwa njia ya majadiliano, basi kuna namna nyingine ya kudai haki hiyo. Jana na leo tumeshuhudia madereva wakigoma na mgomo wao umefanikiwa kwa 98%.

Swali kwa walimu; Kinachowashinda ni nini? Maana migomo yenu imekua na mafanikio 0% na tunaamini nyie ni wasomi zaidi ya madereva, sasa kulikoni mnafeli kudai haki zenu?

Sio uchochezi huu jamani, ila ninahoji failure ya walimu kudai haki zao!!

Kazi njema!!

Mkuu hakuna wafanyakazi waoga kama walimu. Ndiyo maana utasikia mpaka wanapigwa viboko na bado wataendelea na kazi hapo hapo. Ni wengi sana lakini wingi wao ni bure kabisa. Yaani hawa wangekuwa ni watu wenye msimamo ndio wangeitikisa nchi kuliko hata madereva labda wa kuwazidi ni madaktari ingawa nao baada ya kupata historia ya mabwe pande wamegeuka ghafla kuwa wapole. Walimu ni rahisi kudanganyika na vinafasi vya kusimamia uandikishaji wapiga kura, kushughulikia sensa, kusimamia na kuhesabu kura za uchaguzi mkuu basi. Ndio maana ni kundi lenye madai mengi lakini huwa linatosheka na ahadi - "madai yenu yanashughulikiwa kwa awamu, serikali inayatambua madai yenu, serikali imejipanga kuwalipa .." lakini hawalipwi. Msimamo na umoja kwao ni 0% na woga ni 100%
 
Maderava hawana hata ajira. Ndio wanayolilia kwenye mgomo. Hawana cha kupoteza. Hawabanwi na sheria yoyoye ya ajira.
Kwa waalimu ni kinyume.
 
Mkuu hakuna wafanyakazi waoga kama walimu. Ndiyo maana utasikia mpaka wanapigwa viboko na bado wataendelea na kazi hapo hapo. Ni wengi sana lakini wingi wao ni bure kabisa. Yaani hawa wangekuwa ni watu wenye msimamo ndio wangeitikisa nchi kuliko hata madereva labda wa kuwazidi ni madaktari ingawa nao baada ya kupata historia ya mabwe pande wamegeuka ghafla kuwa wapole. Walimu ni rahisi kudanganyika na vinafasi vya kusimamia uandikishaji wapiga kura, kushughulikia sensa, kusimamia na kuhesabu kura za uchaguzi mkuu basi. Ndio maana ni kundi lenye madai mengi lakini huwa linatosheka na ahadi - "madai yenu yanashughulikiwa kwa awamu, serikali inayatambua madai yenu, serikali imejipanga kuwalipa .." lakini hawalipwi. Msimamo na umoja kwao ni 0% na woga ni 100%
Mkuu tutajie mgomo wa madaktari ambao umefanikiwa kama wa madereva uliowasifia.
 
Haki isipopatikana kwa njia ya majadiliano, basi kuna namna nyingine ya kudai haki hiyo. Jana na leo tumeshuhudia madereva wakigoma na mgomo wao umefanikiwa kwa 98%.

Swali kwa walimu; Kinachowashinda ni nini? Maana migomo yenu imekua na mafanikio 0% na tunaamini nyie ni wasomi zaidi ya madereva, sasa kulikoni mnafeli kudai haki zenu?

Sio uchochezi huu jamani, ila ninahoji failure ya walimu kudai haki zao!!

Kazi njema!!
Mimi nadhani wamefanikiwa kuwakomoa watu wasiohusika katika madai yao. Ningeona wamefanikiwa kama wangeyatia moto magari yote au kuyaharibu ili kuwakomoa wamiliki ambao wamekataa kuwapa mikataba na maslahi mazuri.
 
Walimu ni mijitu ya hovyo nchii hii kazi kujipendekeza tuu et SHEMEJI UNATUACHAJE ndo kawaacha sasa anakula bata US shame on u

waalimu wamekukosea nini hadi wastahili kuitwa hivyo ???, laana ya mwalimu wako wa kwanza ikufuate wewe na kizazi chako milele!!! taahira mkubwa wee!
 
he! mleta uzi hii sio kama kampeni fulani hivi?, ila hata waalimu na watu wengine wameathirika na huu mgomo wa kudai haki za madereva,
 
waalimu wamekukosea nini hadi wastahili kuitwa hivyo ???, laana ya mwalimu wako wa kwanza ikufuate wewe na kizazi chako milele!!! taahira mkubwa wee!

walimu kweli hawajielewi,mkuu wa shule tu anawaendesha kama gari ambayo haina breki sembuse halmashauri si wataji
 
Walimu ni mijitu ya hovyo nchii hii kazi kujipendekeza tuu et SHEMEJI UNATUACHAJE ndo kawaacha sasa anakula bata US shame on u

Watu adi aki zao wanafanya mzaa eti shemeji unatuachaje wataweza kuandamana kweli wao watabaki kulalamika
 
walimu ni maboya ndomana wanapelekeshwa hata wakiambiwa wafundishe wakiwa uchi watafundisha.acha waendelee kukoma siwanajifanya kuchagua ccm.shame on them
 
pongez kwa madereva, maana serikali tayari imeonesha haina msaada na nyie.

mgomo uongezwe hadi wiki moja...
 
Tatizo njaa halafu hawana umoja kama ukawa!

ukawa wanaumoja gani hawana mazara walisusa bungeni watu wakaendelea na yao.sasa tunaletewa katiba mbovu mnalialia tushapigwa
 
pongez kwa madereva, maana serikali tayari imeonesha haina msaada na nyie.

mgomo uongezwe hadi wiki moja...

ccm na serikali yao hawapati athali yoyote ile.sisi wanyonge tunaumia acheni kuwachekea madereva wao wameajiliwa na serikali siwakawaombe mabosi wao
 
Dereva hawezi kumgomea mwajiri wake....yani dereva na mwajiri wake lao ni moja....na mabadiliko hayawez letwa kwa kumkomoa mwajiri bali raia wa kawaida.....kugoma kwao kumetuathiri sisi hivyo basi serikali lazima iingilie kati hata kama viongozi hawajaathiriwa moja kwa moja kwa sababu ndo nafas pekee ya kuonesha inakujali...hvyo bas mgomo wa madereva umefanikiwa kwa asilimia kubwa
 
Back
Top Bottom