Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

Manabii wa kitanzania ni wafuga majini wengi wao hulala mama na kuoa binti zao,hunyemelea na kula nyumba za wajane,hawana tofauti na waganga wa kienyeji,aheri ya tb joshua wa kweli,namkubali na dvd za utabiri kwa lowasa ninazo,
manabii na mitume wa tz bakini tu kutabiria sisiemu yenu!
tb joshua hajawahi kumtabiria lowassa kuwa atakuwa rais wa tanzania, hajawahi.
 
Mkuu huyo Joshua angekuwa mkali jengo lake lisinge poromoka na kuua waumini lukuki!! Kwa nini hakuweza kutabiri in advance what was coming kwenye nyumba yake ya ibada?

Hapo sasa unataka kusema madaktari hawaugui wala kufa, wanasheria hawahukumiwi wala kufungwa, kama wewe ni mkristo basi hujawahi kusoma biblia au kuhudhuria mafundisho yoyote maana ungejua habari za mambo yaliyowakuta manabii wa Mungu. kwani ukiwa muumini mzuri hupati shida yoyote hapa duniani?
 
Manabii wa kitanzania ni wafuga majini wengi wao hulala mama na kuoa binti zao,hunyemelea na kula nyumba za wajane,hawana tofauti na waganga wa kienyeji,aheri ya tb joshua wa kweli,namkubali na dvd za utabiri kwa lowasa ninazo,
manabii na mitume wa tz bakini tu kutabiria sisiemu yenu!
tb joshua hajawahi kumtabiria lowassa kuwa atakuwa rais wa tanzania, hajawahi.
 
Acheni tabia za kumtegemea mwanadamu badala ya Mungu. Kwani hadi muende Naijeria? Kwani hapa Tanzania hakuna manabii?

Kakobe alishamuandikia JK waraka wa kinabii last year March...utafute uuone upo humu JF. Almost everything Kakobe said about CCM ndiyo yanayotokea sasa!
 
Hata mm nilikuwa against TB lakini hivi karibuni nimeanza kumfuatilia baada ya kutabiri muda mfupi baada ya ndege ya Malaysia kutoweka,alisema ndege imeangukia bahari ya hindi na ikawa vigumu kuamini kwani hiyo ndege ilikuwa inaelekea China ambako haipitii kabisa Indian Ocean
Hivi majuzi mabaki ya ndege hiyo yameokotwa pwani ya kisiwa cha Reunion ambacho kiko katika bahari ya Hindi.
 
Taarifa kutoka kwa watanzania walio enda TB Joshua walifika wakasema mbona ulisema Lowasaa atakuwa rais alafu akakatwa?

Tb Joshua akawambia uchaguzi umesha fanyika wakasema apana akawambia nendeni nchini kwenu mkafanye uchaguzi lowasa ndo raisi, siku wanafika Tanzania wakakuta ndo siku Lowassa anajiunga na CHADEMA peplessssssssssssssssssss.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.

Pasco
 
Acheni kumsingizia mtumishi wa Mungu kwa mambo yenu ya kishabiki wa simba na yanga, TB J ajawai kutamka juuu ya urais wa lowasa, kama lowasa kwenda kwake kusali alishaenda ata Makufuli pia alishaenda lkn swala la uraisi wa hiii nchi anayejua ni Mungu tu.uzushi muachee.
 
Taarifa kutoka kwa watanzania walio enda TB Joshua walifika wakasema mbona ulisema Lowasaa atakuwa rais alafu akakatwa?

Tb Joshua akawambia uchaguzi umesha fanyika wakasema apana akawambia nendeni nchini kwenu mkafanye uchaguzi lowasa ndo raisi, siku wanafika Tanzania wakakuta ndo siku Lowassa anajiunga na CHADEMA peplessssssssssssssssssss.

hahahhahahha dah JF imekuwa comedy siku hii hadi raha
 
Back
Top Bottom