mpeleke kwenye siasa
Dogo kalishwa limbwata na bei mkubwa...... limbwTa LA kisasa hapewi mume, anapewa mtoto na outcomes zinamdhuru mume
Dah... NImecheka mpaka machozi, lakini kuna ujumbe mzito sana hapo. Wazazi tunatakiwa kuwa makini na sensitive documents kama hizi. TUnapaswa kuzitunnza sehemu ambapo watoto hawafiki