Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 2,926
- 3,054
Umeelewa kweli mada husika? Enzi za JK kwa mfano, wahitimu wote walikuwa wanaajiriwa, sio sasa ambapo mpaka utume maombi, na wanapata wachache tu. Au wewe uko nchi gani!Mkuu ajira za Ualimu hazijatoka juzi au ulikua Canada na ndiyo umerudi?
Jamaa mbinafsi sana.. hizo kazi ndio ana maslahi nazokwa iyo indicator ya pato kuwa juu mpaka walimu waajiliwe?? VP wanasheria, mifugo, uvuvi, wachumi, mainjinia, waandish wa habari, utalii, mambo ya masoko, polisi, jeshi, etc...
Hao ni watu walio kwenye vipau mbele vya nchi,na wengine pia.Na hebu jibu hoja,kwa nini siku hizi watu hawaajiriwi wote kila mwaka?kwa iyo indicator ya pato kuwa juu mpaka walimu waajiliwe?? VP wanasheria, mifugo, uvuvi, wachumi, mainjinia, waandishi wa habari, utalii, mambo ya masoko, polisi, jeshi, etc...
Tatizo hamuwezi kufikiria na kujua kuwa hizo kada mbili ndizo zenye watumishi wengi zaidi,ukiacha Askari polisi na majeshi mengine ambao bado wanaajiriwa.maafisa mifugo hata enzi za JK walikuwa wanaajiriwa kwa uchache.Mnabisha wakati ukweli huu hata wakubwa zenu wanaujua.Jamaa mbinafsi sana.. hizo kazi ndio ana maslahi nazo
Kuna watu huwa mnajitoa akili sana.Hebu sema wewe uliona lini awamu zilizopita,walimu wakituma maombi ya ajira?na Kisha wanaajiriwa baadhi tu?Walikuwa wanaajiriwa wote automatically.Fungua akili yako,isishikwe na shetani.Mkuu ajira za Ualimu hazijatoka juzi au ulikua Canada na ndiyo umerudi?
Hata Jeshini siku hizi Ajira ni za kulenga kwa manati.Hao ni watu walio kwenye vipau mbele vya nchi,na wengine pia.Na hebu jibu hoja,kwa nini siku hizi watu haawshawaajiriwi wote,kila mwaka?
Tatizo hamuwezi kufikiria na kujua kuwa hizo kada mbili ndizo zenye watumishi wengi zaidi,ukiacha Askari polisi na majeshi mengine ambao bado wanaajiriwa.maafisa mifugo hata enzi za JK walikuwa wanaajiriwa kwa uchache.Mnabisha wakati ukweli huu hata wakubwa zenu wanaujua.
Kwa hiyo wanatudanganya?Hata Jeshini siku hizi Ajira ni za kulenga kwa manati.
Masuala ya uchumi kukua no propaganda tu, ila ukweli ni kwamba HALI NI TETEEEÉ
Tena kwa macho makavu kabisa.Kwa hiyo wanatudanganya?
Kila awamu ina utaratibu wake...jiwe ataondoka na majaliwa naye atakuja na mfumo wake..kwahy tulia.Kuna watu huwa mnajitoa akili sana.Hebu sema wewe uliona lini awamu zilizopita,walimu wakituma maombi ya ajira?na Kisha wanaajiriwa baadhi tu?Walikuwa wanaajiriwa wote automatically.Fungua akili yako,isishikwe na shetani.
Wewe ni kibaraka ndani ya nchi yako.Kila awamu ina utaratibu wake...jiwe ataondoka na majaliwa naye atakuja na mfumo wake..kwahy tulia.
We huoni ndege zinaagizwa tuu?
Kwa kuwa walikuwa hawachujwi ndio maana hata wanafunzi enzi hizo walikuwa mbumbumbu na hata sasa madhara yake yanaonekana. Bado kuondoa dhana potofu ya ufundishaji mashuleni ni kikwazo kutokana na hao waluoingizwa kiholelaKuna watu huwa mnajitoa akili sana.Hebu sema wewe uliona lini awamu zilizopita,walimu wakituma maombi ya ajira?na Kisha wanaajiriwa baadhi tu?Walikuwa wanaajiriwa wote automatically.Fungua akili yako,isishikwe na shetani.