Kama kweli Mwafrika katokana na adamu na hawa kwanini DNA za Waafrika ni tofauti na za wazungu,wahindi,wachina,wakorea,nk??

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Habarini,

Tafakarini juu ya hili kwa kumshirikisha MUNGU WA KWELI WA WATU na siyo mungu wa uongo wa warabu na wazungu.

Iweje DNA za WAAFRIKA, wahindi,wachina,wazungu,waafrika ziwe tofauti kama kweli wote wametokana na adamu na hawa??
 
Haya ni maswali magumu sana.
 
Hayo maswali mengine yatakufanya ukufuru tu.Ngoja Kwanza nibugie ubwabwa nilioletewa na jirani.Ubwabwa oyeee!
Naona upo kwenye kilele cha mafanikio,unaonaje kipindi cha uchaguzi,wanaotaka madaraka wakikupikia ubwabwa?
Bilashaka utafurahia sana.Hongera sana mkuu.
 
😂😂😂

Kwenye haya unatakiwa ushukuru kwa kile asili inayokuoffer tofauti na hapo ukitaka kuhoji kila kitu utawwza na kuwazuka ,kama huyu mtoa mada tayari ana makasiriko sasa naona ameshaanza kupata msongo 😂😂
 
Umewaza zaidi ya kuwaza.Siwezi kununuliwa kwa ubwabwa mkuu.Labda nipatiwe mabikra 72 na kupewa kijito cha mvinyo utiririkao kimadaha.
 
😂😂😂

Kwenye haya unatakiwa ushukuru kwa kile asili inayokuoffer tofauti na hapo ukitaka kuhoji kila kitu utawwza na kuwazuka ,kama huyu mtoa mada tayari ana makasiriko sasa naona ameshaanza kupata msongo 😂😂
Anataka ashindane na Mungu wakati kibaka tu kama mimi haniwezi.Awe mpole.
 
Back
Top Bottom