Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

Kwamba Mungu aliumba vitu dhaifu?

Kama ni hivyo Uumbaji wa Mungu ni dhaifu na una makosa mengi sana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tofautisha kati ya udhaifu na Ukamilifu.
Sifa ya Ukamilifu ni kutokua na MWANZO Wala MWISHO .
so chochote' chenye mwanzo kina mwisho lakini haimaanishi kitu hicho ni DHAIFU .😂😂
 
Yaani wewe huna akili kabisa unakataa evidence ya biblia kuhusu uwepo wa Mungu eti kisa zimeandikwa na wanadamu Alafu pia unatuletea fasalfasa zilizo andikwa na wanadamu Alafu unataka na sisi tukuelewe si ndio ?


Biblia imejaa contradiction nyingi hutaweza kuzijadili na kuzipangua zaidi ya kusema God did it!
 
kama kila ktu complex na organized kina mtu alieumba ni mungu bas hata huyo mung atakuw very complex ambaye nae lazma atakuw kaumbwa na ktu kngne au mnataka kusema huyo mung nae katokea wp kapata wp huo uwezo?? hiz dhana zmeletwa na mwanadamu kutaka kujarbu kutoa majbu ya maswal ambayo mwanadam kashndwa kutolea maelkezo na uthibitisho.....

mfano mwnadamu mwanzon hakujua kuhus gravity wa kwnye dini waksema kuna nguvu ya umungu inawalazmsha viumbe wote wabaki dunian wastoke dunian kumbe kuna gravity ambay inavuta watu na vtu dunian hizo theory alzkuta newton wakat anadiscover gravity.

pia ile ya kusema dunia zmeshkliwa na jua kuptia nguvu ya kiroho itakayo dunia iangazwe kumbe gravitational if the earth and sun.

hzo theory zote mpka za mvua wanadam kuhusianisha na mungu kuleta mvua zlkuw zkizngumzwa hvyo mpka pale sayansi ilvyoleta majibu ya dhana hzo

sas tubaki pale pale hzi iman zinatyngwa n wanadamu kuelezea incidences ambazk mwnadamu kashndwa kuztolea maelezo na wazntumia as a concrete point to instill fear to human beings waoga na wasiotaka kufkiria

unaetaka kuamini kuhusu hayo mambo amini tu ila uhalsia ukikaa chin ukafkiria jins hz iman znavyodannganga watu utajicheka sna

uwezi amni imam hizihiz kuna watu vijijin huko sio vijijin tu hata ambao hawajabahatka kwend shule wngne ukawaulza kuhus mvua watakuambia kuna malaika wa mvua wnaleta mvua asee
Naskitka hata babu yangu alshawah niambiaga hvyo
 
Ndo maana nkaweka doubt hapo

Ona sasa hauelewi hata ni vitu gani nmesema.

Nmekwambia msingi wa chini kabisa katika kuelezea ulichoniuliza kuwa how universe formed from nothing.

Nmekugusia issue ya matter and antimatter.

Ulivyoreact Umenionesha kabisa kuwa huelewi ma huna nia ya kuelewa.

Doubt yangu ilikuwa sahihi.
Shida huonyeshi ya kuwa ilikuwa vipi Ulimwengu ukatokea from nothing, unaruka ruka mara matter mara antimatter.

Elezea ulimwengu ulitokea vipi from nothing.
 
Binadam ndiye creature wa mwisho kumbuka . Ni kujitoa ufahamu kuwa viumbe wengine waliumbwa kumuhudumia binadam .
Kumbuka viumbe wote + binadamu walipewa wote maagizo sawa " mkaongezeke muijaze Nchi "
Sasa wazae waongezeke waijaze nchi sawa, ila aliyepewa akili ni binadamu, aliyepewa upendeleo wa kuhudumia vitu vingine ni binadamu, aliyeambiwa afanye kazi ni binadamu Sasa kama na wewe unataka kuwa kiumbe hai usiye na akili huoni hutajitendea haki? Binadamu ameambiwa atafute maarifa ili awe na nguvu lakini viumbe vingine havitumii maarifa Bali nguvu pekee.
 
Wewe hujui kizazi kilichopo Sasa kinaanzia kwa nuhu? Na ndo maana ujenzi wa dunia ulianza upya? Na kadri muda unavyokwenda habari nyingine zinabaki kuwa historia na maandiko yanabaki kuwa msaada wa kujua wema na ubaya ni njia inayoelekea wapi na siyo mashindano ya kukalili hiyo biblia na kushindania kukalili vitabu, hao walioandika hivyo vitabu huoni wamebaki na msimamo wa kutenda haki na kutenda wema na ubaya wanakwambia tenda ubaya ukiwa unajua mwisho wako ni wapi.


Mkuu,
Achana na hii story ya the epic of gilgamesh.

Katika story ambayo ina mkanganyiko mwingi na uongo mwingi ni hii tengeneza hoja yako pasi kuhusisha hii ngano.
 
Kusema kweli unashangaza.

Sasa unawezaje kusema kwamba biblia ina makosa mengi na ina contradictions nyingi wakati huo hujui maana ya teolojia ukizingatia kwamba biblia yote ni teolojia?

Huo uhalali unautoa wapi?


Nadhani hujamuelewa kiranga na huenda ukawa unajaribu ku address na ku defend biblia kwa njia ya theodicy.
 
MUNGU ANGEKUWA HAYUPO TUNGEKUWA HATUFI.

MAANA KAMA TUNGEKUWA TUMEJIUMBA SISI WENYEWE SASA TUNGEJIWEKEAJE LIMITATIONS ZA KUISHI.

Mjinga Ni Yule Asie Amini Mungu Yupo.


Na hii ndio sababu kubwa kwanini dini zipo na zinaendelea kuwepo.
Hofu ya kifo ndio inakufanya wewe kuamini nadharia ya mungu.
 
Nadhani hujamuelewa kiranga na huenda ukawa unajaribu ku address na ku defend biblia kwa njia ya theodicy.
Kuwepo kwa uovu duniani hakuwezi kufafanuliwa kuwa Mungu si mwema na mwenye upendo, au kwamba Mungu si muweza wa yote na anaejua yote.

Soma vizuri kuhusu 'Uovu'.

Mtu anaeelewa mambo na elimu ya vitu huwezi kuona uovu kama makosa au udhaifu wa Mungu; au kutokuwepo kwa Mungu. The evil in the world does not conflict with the goodness of God.
 
Kuwepo kwa uovu duniani hakuwezi kufafanuliwa kuwa Mungu si mwema na mwenye upendo, au kwamba Mungu si muweza wa yote na anaejua yote.

Soma vizuri kuhusu 'Uovu'.

Mtu anaeelewa mambo na elimu ya vitu huwezi kuona uovu kama makosa au udhaifu wa Mungu; au kutokuwepo kwa Mungu. The evil in the world does not conflict with the goodness of God.


Hii ni njia wanateolojia wengi hutumia ku solve hili swali.

Kwenye mizani ya logical consistency hizi sababu lazima ziwe loose.

Hata tukianza kuchambua kwa upande wa theodicy bado kuna mapungufu tu.
 
Point of corrections. Binadamu anauwezo wa kuunda na kutengeneza Vitu . Sio kuumba .
Kwahyo nkitaka kufinyanga kimdoli_mtu cha udongo ntakosea nkisema kuumba!?

Kama ndiyo unaweza kunieleza ni kwanini!?.

Unafahamu kuwa umba inatokea kwenye neno Umbo!?
 
Kuwepo kwa uovu duniani hakuwezi kufafanuliwa kuwa Mungu si mwema na mwenye upendo, au kwamba Mungu si muweza wa yote na anaejua yote.

Soma vizuri kuhusu 'Uovu'.

Mtu anaeelewa mambo na elimu ya vitu huwezi kuona uovu kama makosa au udhaifu wa Mungu; au kutokuwepo kwa Mungu. The evil in the world does not conflict with the goodness of God.
Kwahyo uwepo wa uovu na mabaya katika ulimwengu hauwezi kuhusianishwa na wema wa Mungu?
 
Mungu, na uovu au ubaya ni mambo ambayo hayawezi kukaa pamoja.
Sasa mbona kaumba ulimwengu huu ambao unamuweka pamoja (Mungu na uovu/ubaya)?

Au labda Mungu alishindwa kuumba ulimwengu usio ruhusu mabaya?
 
Sasa mbona kaumba ulimwengu huu ambao unamuweka pamoja (Mungu na uovu/ubaya)?
Kuumbwa kwa dunia ni jambo moja na kuwepo kwa uovu duniani ni jambo jingine.

Ouvu duniani hakuna uhusiano na Mungu kuumba dunia.

Ouvu ni maelekeo ya mtu mwenyewe, ni uhuru wa mtu mwenyewe.

Dunia sio uovu.

Mungu hakuumba dunia yenye uovu au mabaya.
 
 
Back
Top Bottom