Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,617
- 39,974
Kwenye press yake Jana Mgombea Udiwani Kariakoo, Haji Manara katetea kitendo cha Abdul kumiliki magari ya kifahari eti ni haki yako sababu ni mama yake ni Rais. Huu utetezi wa kihuni ungeupeleka Kwa Wahuni wenzio.
Pia soma >>> GE2025 - Haji Manara: Hii nchi ina utawala Octoba 29 hatoki mtu kuandamana
Pia soma >>> GE2025 - Haji Manara: Hii nchi ina utawala Octoba 29 hatoki mtu kuandamana