Kama kuna watu wameisoma na watazidi kuisoma namba basi ni walimu

anaandika mwalimu wangu

"Binafsi kama kuna watu walimpigia debe Ndalichako awe Waziri Wa Elimu basi nami nilikuwa mmojawapo
nilidhani sasa Yale Elimu na walimu vitarudi katika ubora wake lakini hadi sasa tunajuta zaidi ya usajili Wa "Pogba"
kwa mambo kadhaa tu yafuatayo utajua sasa tumepata Waziri ambaye hatukutegemea kabisa tangu kuumbwa misingi ya Dunia..
1.kufuta mtihani Wa form II
2.Mkanganyiko Wa udahili TCU
n.k

sasa nirudi kwenye mada kama kuna kundi lililosomeshwa namba effectively basi ni hawa maticha..

1.Suala la uhamisho...
kuna walimu walishakamilisha mambo ya uhamisho na wakauza vitu vyao wakitaraji majina na vibali kutoka mwezi Wa 7 as usually.. sasa ni mwezi Wa 10 hali zao huko walipo wanatia huruma..wanaishi kama mazombi sio mashetani..
2.kushushwa madaraja
kuna walimu walipanda madaraja kwa tabu sana na wakaanza kupokea mishahara ya madaraja yao baadae wakashushwa kupisha uhakiki (siku hizi umepewa jina jipya la utambuzi)
3.Nyongeza za mishahara..
hili sisemi maana wote tunajua umuhimu Wa nyongeza kwa mwalimu ambae hana posho yoyote sasa kuzunguuka na mshahara huo huo kwa miezi 15. plus mfumuko Wa bei hebu jaribu kuvaa viatu vyake..
4.Kufutwa kwa posho za kusahihisha mitihani..
hii ilikuwa ni fursa kubwa kwa walimu kupata hela mbali na mshahara mwalimu akitoka marking walau anaweza kununua hata godoro kwenye chumba cha watoto... sasa Leo imefutwa kwa madai eti wanafanya majukumu yao...vipi kuhusu wabunge wao wanafnya majukumu ya nani?.. hivi umkalishe mwalimu mwezi mmoja nje na familia yake halafu usimlipe posho?

mfano Mimi kila jioni nikitoka shule namchukua mke wangu Mariamu na watoto wangu watatu Imma,Joan na Cassandra tunaenda kwenye bustani Yetu ya mboga mboga hadi saa 12 jioni tunaweza kurudi na 3000-5000 sasa Leo hii unichukue ukanifungie huko nisahihishe mitihani miezi miwili halafu usinilipe?? hapana.
5.Elimu bure..
kiukweli swala hili ni pigo lingine kwa walimu...tofauti na mtazamo Wa wengi kuwa walimu walikuwa wanakula hela lakini ukweli utabaki kuwa kufutwa kwa michango kumewasononesha walimu...
mwalimu alikuwa na uwezo Wa kuagiza mchango Wa dawati kwa 35000 na yeye akabagain na Fundi akapata ile 5000 Mtoto akapata dawati mwalimu akapata ile 5000 sasa Leo hakuna michango na watoto wanakaa chini kwa asiyeamini hili aje pm nitampeleka shule NNE za wanafunzi wanaokaa chini..

mwisho..
Ukimya huu Wa mheshimiwa Raisi juu ya maslahi bora ya walimu unaashiria mambo mawili..
1.anaaply ile theory ya ni upepo tu utapita...yaani wapige kelele tu lakini hakutakuwa na nyongeza zaidi ya kutoa 2% za kodi.. AU
2.Anaandaa big surprise kuwainua walimu kutoka hali ya kudharauliwa hadi kwenda katika hali ya kuheshimiwa..hii inaitwa "chemical change"

nimeandika haraka haraka maana huwezi jua lini malaika atashuka.
Mkuu uko sahihi kwa kiasi kikubwa ila umekose kwenye andiko lako kwa kumhusisha Pogba na watu wa ajabu ajabu!
 
kama kuna kaucheshi fulani hivi Yule mkuu wao sijui ndo nani huwa anatangaza migomo kipindi cha likizo.hahahaha!
 
Hivi na vile viwango vya ufaulu wa o,level Ni siasa au kweli?! maana had I dk hii sielewi
I means
A(75-100)
B(65-74)
C(45-64)
D(35-44)
F(34-0)
 
"Matokeo hafifu yajayo "
Mkuu mbona yashatokea huku Ni lipo
huwezi Amini mtihani wa mock 4m four
et umesahishwa na WANAFUNZI WA 4M
4 Wenyewe hadi 4m 1!! halafu yakabandikwa na wazazi kuwapongeza watoto wao kwa ufaulu mzuri!
aaaaah!! nahc wanataka kuwaangusha watoto wetu ili waendelee kututawala kama kule B.O.T!
 
Walimu huhadaiwa na serikali kama uchaguzi unakaribia ili watumike kufanikisha malengo ya ccm,
Hapo umesema mambo mawili unayodhani, lakini la msingi na sekondari ni moja tu "ni upepo tu"
Binafsi hao watu sina cha kuwatetea ni wepesi sana kutumika awe mwl wa primary, sec or chuo with Phd wote same same hii taaluma sijui ina laana gani wanapenda sana kujipendekeza kwa wakubwa in President voice jana.
 
Na hili kundi, wakivua uvivu, ccm chaliiii!
Kwa sababu,

1.ndiyo kundi pekee lenye uwezo wa kueleza na kueleweka maana ni taaluma yao
2. Wana grupu kubwa la waelewa, yaani sekondari na vyuo,
3. Ndiyo kada pekee yenye watu wengi kuliko kada yotote tanzania hii,
4. Wamo katika familia pia, ambazo wana uwezo wa kuzikomvisi kufanya wanachoweza kuwa wamekusudia.
 
anaandika mwalimu wangu

"Binafsi kama kuna watu walimpigia debe Ndalichako awe Waziri Wa Elimu basi nami nilikuwa mmojawapo
nilidhani sasa Yale Elimu na walimu vitarudi katika ubora wake lakini hadi sasa tunajuta zaidi ya usajili Wa "Pogba"
kwa mambo kadhaa tu yafuatayo utajua sasa tumepata Waziri ambaye hatukutegemea kabisa tangu kuumbwa misingi ya Dunia..
1.kufuta mtihani Wa form II
2.Mkanganyiko Wa udahili TCU
n.k

sasa nirudi kwenye mada kama kuna kundi lililosomeshwa namba effectively basi ni hawa maticha..

1.Suala la uhamisho...
kuna walimu walishakamilisha mambo ya uhamisho na wakauza vitu vyao wakitaraji majina na vibali kutoka mwezi Wa 7 as usually.. sasa ni mwezi Wa 10 hali zao huko walipo wanatia huruma..wanaishi kama mazombi sio mashetani..
2.kushushwa madaraja
kuna walimu walipanda madaraja kwa tabu sana na wakaanza kupokea mishahara ya madaraja yao baadae wakashushwa kupisha uhakiki (siku hizi umepewa jina jipya la utambuzi)
3.Nyongeza za mishahara..
hili sisemi maana wote tunajua umuhimu Wa nyongeza kwa mwalimu ambae hana posho yoyote sasa kuzunguuka na mshahara huo huo kwa miezi 15. plus mfumuko Wa bei hebu jaribu kuvaa viatu vyake..
4.Kufutwa kwa posho za kusahihisha mitihani..
hii ilikuwa ni fursa kubwa kwa walimu kupata hela mbali na mshahara mwalimu akitoka marking walau anaweza kununua hata godoro kwenye chumba cha watoto... sasa Leo imefutwa kwa madai eti wanafanya majukumu yao...vipi kuhusu wabunge wao wanafnya majukumu ya nani?.. hivi umkalishe mwalimu mwezi mmoja nje na familia yake halafu usimlipe posho?

mfano Mimi kila jioni nikitoka shule namchukua mke wangu Mariamu na watoto wangu watatu Imma,Joan na Cassandra tunaenda kwenye bustani Yetu ya mboga mboga hadi saa 12 jioni tunaweza kurudi na 3000-5000 sasa Leo hii unichukue ukanifungie huko nisahihishe mitihani miezi miwili halafu usinilipe?? hapana.
5.Elimu bure..
kiukweli swala hili ni pigo lingine kwa walimu...tofauti na mtazamo Wa wengi kuwa walimu walikuwa wanakula hela lakini ukweli utabaki kuwa kufutwa kwa michango kumewasononesha walimu...
mwalimu alikuwa na uwezo Wa kuagiza mchango Wa dawati kwa 35000 na yeye akabagain na Fundi akapata ile 5000 Mtoto akapata dawati mwalimu akapata ile 5000 sasa Leo hakuna michango na watoto wanakaa chini kwa asiyeamini hili aje pm nitampeleka shule NNE za wanafunzi wanaokaa chini..

mwisho..
Ukimya huu Wa mheshimiwa Raisi juu ya maslahi bora ya walimu unaashiria mambo mawili..
1.anaaply ile theory ya ni upepo tu utapita...yaani wapige kelele tu lakini hakutakuwa na nyongeza zaidi ya kutoa 2% za kodi.. AU
2.Anaandaa big surprise kuwainua walimu kutoka hali ya kudharauliwa hadi kwenda katika hali ya kuheshimiwa..hii inaitwa "chemical change"

nimeandika haraka haraka maana huwezi jua lini malaika atashuka.
HIVI SOMO LA KULALAMIKA WALIMU HUWA WANALISOMA SEMESTER YA NGAPI.HII NCHI UTAFIKIRI WATUMISHI NI WALIMU TU.MIMI NIMEANZA KAZI 2010 KWA BASIC SALARY YA 219,000 NA RATION YA 100,000 NA SASA NDIO SASA MSHAHARA WANGU UMEFIKIA 275,000 UKIJUMLISHA NA RATION NDO INAKUWA 375,000 LAKINI TUKO KIMYA ILA WALIMU NI KAMA WANA LAANA.WENGI MISHAHARA YAO INAGONGA KUANZIA LAKI NNE LAKINI NI WALALAMISHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII KAMA MTOTO WA KAMBO.WATU KIBAO WAKO MTAANI HAWAJAAJIRIWA KUANZIA SEKTA YA AFYA NA KILA KITU.UKIAACHANA NA WALE AMBAO HUWA WANASOMA WAKIJUA KUPATA KAZI NI NGUMU.YAANI HII LAANA NI MPAKA WAKITAFUTIWA MWANASAIKOLOJIA AWASAIDIE..............
 
kwa mshahara huo hongera kama una mudu kupanga hata chumba
 
Waalimu huwa ni watu wa kuteseka vipindi vyote lakini ukifika wakati wa uchaguzi unaweza kujiuliza kama taaluma yenu mmeisomea au mlienda kuichukua huko vyuoni !!!!!......

Huwa mnarubunika kirahisi katika kufanikisha matakwa ya kisiasa lakini baada ya hapo huwa hamkumbukwi na hii ni kama cycle mliyoizoea.....
Vyama vyenu ni simba asiye na meno ya ncha Kali serikalini

Wengine walimchagua kikwete kwa sababu ya mama salma ni mwalimu mwenzao hivyo, mazingira yenu yangeboreshwa ..
sasa nikajiuliza huwa mnafundisha ujinga gani huko mashuleni hadi logic ya kawaida inawashinda !!!!.....

Siwalaumu ila Endeleeni kuvumilia hadi akili itakapowakaa sawia
Tunateseka mkuu
 
Ni kweli kabsa uku kwetu mitihani ya mock form 4 wamesahisha siku mbali tu, kukata tu majibu nahisi hata mtihani wa taifa watakao enda kusahisha kukata hakuna kusoma jibu word to word, ni bora kumaliza mapema kuwahi kurudi nyumban kutafuta pesa kuliko kukaa ughaibun bila posho
Huko ndiko kuua elimu. Ngoja tuone mwisho wake
Wabunge nao wasipewe posho
 
anaandika mwalimu wangu

"Binafsi kama kuna watu walimpigia debe Ndalichako awe Waziri Wa Elimu basi nami nilikuwa mmojawapo
nilidhani sasa Yale Elimu na walimu vitarudi katika ubora wake lakini hadi sasa tunajuta zaidi ya usajili Wa "Pogba"
kwa mambo kadhaa tu yafuatayo utajua sasa tumepata Waziri ambaye hatukutegemea kabisa tangu kuumbwa misingi ya Dunia..
1.kufuta mtihani Wa form II
2.Mkanganyiko Wa udahili TCU
n.k

sasa nirudi kwenye mada kama kuna kundi lililosomeshwa namba effectively basi ni hawa maticha..

1.Suala la uhamisho...
kuna walimu walishakamilisha mambo ya uhamisho na wakauza vitu vyao wakitaraji majina na vibali kutoka mwezi Wa 7 as usually.. sasa ni mwezi Wa 10 hali zao huko walipo wanatia huruma..wanaishi kama mazombi sio mashetani..
2.kushushwa madaraja
kuna walimu walipanda madaraja kwa tabu sana na wakaanza kupokea mishahara ya madaraja yao baadae wakashushwa kupisha uhakiki (siku hizi umepewa jina jipya la utambuzi)
3.Nyongeza za mishahara..
hili sisemi maana wote tunajua umuhimu Wa nyongeza kwa mwalimu ambae hana posho yoyote sasa kuzunguuka na mshahara huo huo kwa miezi 15. plus mfumuko Wa bei hebu jaribu kuvaa viatu vyake..
4.Kufutwa kwa posho za kusahihisha mitihani..
hii ilikuwa ni fursa kubwa kwa walimu kupata hela mbali na mshahara mwalimu akitoka marking walau anaweza kununua hata godoro kwenye chumba cha watoto... sasa Leo imefutwa kwa madai eti wanafanya majukumu yao...vipi kuhusu wabunge wao wanafnya majukumu ya nani?.. hivi umkalishe mwalimu mwezi mmoja nje na familia yake halafu usimlipe posho?

mfano Mimi kila jioni nikitoka shule namchukua mke wangu Mariamu na watoto wangu watatu Imma,Joan na Cassandra tunaenda kwenye bustani Yetu ya mboga mboga hadi saa 12 jioni tunaweza kurudi na 3000-5000 sasa Leo hii unichukue ukanifungie huko nisahihishe mitihani miezi miwili halafu usinilipe?? hapana.
5.Elimu bure..
kiukweli swala hili ni pigo lingine kwa walimu...tofauti na mtazamo Wa wengi kuwa walimu walikuwa wanakula hela lakini ukweli utabaki kuwa kufutwa kwa michango kumewasononesha walimu...
mwalimu alikuwa na uwezo Wa kuagiza mchango Wa dawati kwa 35000 na yeye akabagain na Fundi akapata ile 5000 Mtoto akapata dawati mwalimu akapata ile 5000 sasa Leo hakuna michango na watoto wanakaa chini kwa asiyeamini hili aje pm nitampeleka shule NNE za wanafunzi wanaokaa chini..

mwisho..
Ukimya huu Wa mheshimiwa Raisi juu ya maslahi bora ya walimu unaashiria mambo mawili..
1.anaaply ile theory ya ni upepo tu utapita...yaani wapige kelele tu lakini hakutakuwa na nyongeza zaidi ya kutoa 2% za kodi.. AU
2.Anaandaa big surprise kuwainua walimu kutoka hali ya kudharauliwa hadi kwenda katika hali ya kuheshimiwa..hii inaitwa "chemical change"

nimeandika haraka haraka maana huwezi jua lini malaika atashuka.
Utopian analysis.
 
chemical change itawashangaza wengi!
serikali inaanda mazingira mazuri kwajili ya walimu, tuwe wavumilivu
 
Back
Top Bottom