jangiri
Member
- Jun 25, 2013
- 39
- 18
Sababu za kutokulala nizipi? kulala ni afya ati!!
Kazi za watu mkuu,ukilala umeharibu!
Sababu za kutokulala nizipi? kulala ni afya ati!!
Nalianzisha
Kwa hiyo kabla ya kulianzisha tukio la ujambazi unatupa taarifa tujipange kuchezea ubapa wa mapanga yako?
Au unaloga!?
Umelala?
ndio we, usikii nakoroma?