Kama kuna madaktari naombeni mnisaidie

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
493
186
Habari za humu wana jamii forum
Natumai ni wazima wa afya

Naombeni msaada wa hili tatizo kwamba kuna muda ambao huwa nahisi internal muscle zinatetemeka tetemeka tena hali hii huchukua sekunde kadhaa halafu huacha na baadae zinaweza endelea tena
Hali hiii hutokea karibuni mwili mzima miguuni,mikononi,tumboni,mgongoni na hata maeneo ya mapajani.
Hali hii hutokea sana wakati nmetulia ama nakula au nafanya shughuli yoyote isio ya kuushughulisha mwili
Hivyo basi kama kuna mtu yeyote ambaye anaufaham wa hili swala naomba anieleze huwa linasababishwa na nini na ni yapi matibabu yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom