Kama kiwango chako cha elimu hakijafikia masters, tusikuone ukileta utafiti wako uchwara humu!

Utafiti kama upi kwa mfano?
 
Elimu ya bongo nayo ni Elimu? Asilimia kubwa wenye Elimu wanaelimu ya kuajiliwa sio kujiajiri sasa hiyo ni Elimu? Raha ya Elimu uwe unaajiri, Elimu ambayo hujui kipi ni kipi, kipi kinafaa kwa muda huu, na kipi kinafaa kwa muda ule?

Kama mtu anasoma mpaka PHD harafu hajafanya tafiti kitu gani ajiajiri ili atengeneze ajira kwa watu? mpaka anasubiri kuajiliwa aingize ndugu zake wasio na vigezo, je Phd hiyo inaweza kutoa tafiti za ukweli? Wasomi makanjanja ndio wanefikisha Taifa hapa na tafiti zao za uongo zisizo na tija kwa Mwananchi.. Wasomi hao hao wamefanya tatifi sehemu zinazo toa maji baridi, cha ajabu visima havitoi maji na kama vinatoa maji, basi yana chumvi au hayana ladha!! Huo ni mfano mmoja tu kati ya mifano trioni ya hapa Tanzania

NB kama mimi ni Rais natengeneza kamati maalum ya kuchunguza Phd mmezipataje. Kama huna vigezo au hujaletea Taifa tija navitia kiberiti mbele yenu. Kuanza upya sio ujinga, ujinga ni kuendeleza ujinga.
 
Asilimia kubwa ya watu wanaotumia kigezo cha elimu(in the form of Form 4,6,BA,BEng or BSc Masters na PhD)kama silaha yao in reality ni waliopata academic qualifications kwa bahati mbaya.Kibaya zaidi other than papers called certificates THEY HAVE NOTHING!
 
Kwa hiyo wenye Masters wote wanajua utafiti na wasio na Masters wote hawajui utafiti?

Mbona rais wenu ana Ph.D lakini anakurupuka kuhamia Dodoma bila budget, much less utafiti?
 
Utafiti: Wadada wengi wako radhi kutafutiwa wenzi!


 
we nae sasa kila mtu akiajili wafanyakazi watatoka wapi????elimu uchwara hz
 
bilget alifanya utafiti kabla hajamaliza hata degree na akaamua kuanzisha microsoft na sahizi ni kampuni yenye revenue kubwa duniani na inasaidia watu karibu dunia nzima.je utafiti wa bilget ambao aliufanya akiwa hajamaliza hata degree 1 na wako wa masters upi nu utafiti mzuri
 
Mkuu samahani kipe heshima Chuo kikuu Mzumbe.
Kwanza hakuna usikarili kuna usikariri.
Nikikwambia utoe madhaifu ya MU utatokwa udenda. Heshima tafadhali .Heshima narudia tena.
 


kajipange urudi upya kila mtu ana wilaya yake wewe wa Daresalam sijui wapi utaenda kwa mh.Chabruma

swissme


Sasa wewe umeandika nini mtoa uzi
Ila thread nyingine ni upuuzi mtupu, as we umeandika utoko gani? Eti mkuu gn wa wilaya hivi unafkiri huku dar kuna mambo ya kujuana sjui mkuu wa wilaya km huko kijijini kwenu? We ni buree kabisa

 
Hivi hiyo masters ndio umeipata hivi karibuni???hao wanaokuzunguka kazi wanayo
 
Vipi rafiki umekunywa viroba au umevuta bange? Kwanza unazungumzia utafiti gani? PhD za wapi? Sio lazima uanzishe Uzi kama huna cha kuandika unakaaa kimya. Sio unaandika utumbo Kama huu. Elimu ya kipuuzi ya vyeti imetuharibia vijana wetu kweli. Unaweza kuta nae anajiita msomi, kwa upeo na mawazo kama haya kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…