Uchaguz Wa Mwaka Huu Ni Wakipumbavu,vyama Vinashindana Kujaza Watu Badala Ya Kushindana Sera...Ccm Walikodi Uda Leo Ukawa Wamerudia Kilekile Huu Ni Ujinga..Uchaguz Umejaa Kukomoana Mara Lowassa Anasema Mkuu Ndo Alitoa Idhin Kusaini Mkataba Wa Richmond Kwahyo Hausiki,huku Mwakyembe Nae Anasema Lowassa Alihusika.Sasa Tumuelewe Nan?Walikuwepo wap Miaka 7 Yote?Huu Ni Upumbavu,tuchague Viongoz Tunaowaona Hawamkomoi Mtu Yoyote Huyu Mwakyembe Alikuwa Wap Kumpeleka Mahakaman?Huyu Lowassa Mpaka Anajiuzulu Alikua Wap Kusema Ukwel?
Wanabodi,
nimepita hapa Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za UKAWA, mchana huu saa 8:45, kitu nilichokishuhudia, Kama Kipimo Cha Ushindi ni Idadi ya Watu, then, Lowassa Ndiye Rais Wetu!. Kwa upande huu wa idadi ya watu wa leo, nikilinganisha na idadi ya watu siku ya ufunguzi wa Mkutano wa CCM, then, CCM imepigwa chini, imeangushwa Chali!, Imeshindwa Vibaya!.
Hii inamaanisha, kama umati huu wote wamejiandikisha, na wote watajitokeza kupiga kura hiyo siku ya uchaguzi, hata CCM waibe vipi kura, kwa kuitumia NEC, kura hazitatosha, mshindi wa uchaguzi huu bado atakuwa ni Edward Lowassa!.
Lakini kama ni kweli, hawa wenye boda boda, bajaj na umati uliojitokeza wamehongwa pesa ili kuleta tuu ujazo wa wingi wa watu, lakini hawajajiandikisha kupiga kura na sii wapiga kura, then hakuna ubishi, mshindi ataendelea kuwa ni CCM!.
Hata kwa akili ya matope, huo umati wote utauhonga benki ya dunia au?
Walimwengu hivi mmefungwa ufahamu?hivi ni vyama vitano na bado watu wametoka mikoani wakati ccm ilikuwa ni chama kimoja tu,ndo maana mnaitwa wapumbavu
Kwa mara nyingine unajidanganya. Kumbuka nyomi hilo linawakilisha vyama zaidi ya vitatu, na leo mgombea urais kupitia UKAWA ameamua kutuacha kwenye mataa tena bila hata huruma. Ya kuambiwa changanya na zako....Hii inamaanisha, kama umati huu wote wamejiandikisha, na wote watajitokeza kupiga kura hiyo siku ya uchaguzi, hata CCM waibe vipi kura, kwa kuitumia NEC, kura hazitatosha, mshindi wa uchaguzi huu bado atakuwa ni Edward Lowassa!...
Unatudharau wapiga kura na bado unataka tukupigie kura?Unatakiwa kwanza uwajue vizuri wapiga kura watanzania. Habari ya sera iwe nzuri au mbaya hawajui sanasana watakariri kiongozi gani kasema nini...
Kwa mara nyingine unajidanganya. Kumbuka nyomi hilo linawakilisha vyama zaidi ya vitatu, na leo mgombea urais kupitia UKAWA ameamua kutuacha kwenye mataa tena bila hata huruma. Ya kuambiwa changanya na zako.
Acha kukurupuka.Sio ndio maana ya kuungana, au?...
Wanabodi,
nimepita hapa Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za UKAWA, mchana huu saa 8:45, kitu nilichokishuhudia, Kama Kipimo Cha Ushindi ni Idadi ya Watu, then, Lowassa Ndiye Rais Wetu!. Kwa upande huu wa idadi ya watu wa leo, nikilinganisha na idadi ya watu siku ya ufunguzi wa Mkutano wa CCM, then, CCM imepigwa chini, imeangushwa Chali!, Imeshindwa Vibaya!.
Hii inamaanisha, kama umati huu wote wamejiandikisha, na wote watajitokeza kupiga kura hiyo siku ya uchaguzi, hata CCM waibe vipi kura, kwa kuitumia NEC, kura hazitatosha, mshindi wa uchaguzi huu bado atakuwa ni Edward Lowassa!.
Lakini kama ni kweli, hawa wenye boda boda, bajaj na umati uliojitokeza wamehongwa pesa ili kuleta tuu ujazo wa wingi wa watu, lakini hawajajiandikisha kupiga kura na sii wapiga kura, then hakuna ubishi, mshindi ataendelea kuwa ni CCM!.
Pasco wa jf, sio mwanachama, mfuasi au mshabiki wa chama chochote cha siasa, au mgombea yoyote, bali ni mkereketwa wa demokrasia ya kweli ndani ya bunge, ambaye anaamini kwenye ukweli na uwazi!.
Pasco
Tanzania ni nchi kubwa zaidi ya hao watu waliojitokeza leo Jangwani. Nadhani unaelewa hilo.Rungu na mkerewe halisi hao watu wote wawe kutoka chama kimoja au vitatu. Ikitokea kama wote wamejiandikisha na wakajaaliwa kupiga kura siyo kura za kutosha kabisa??